Ubora wa baba

Ubora wa baba

Incoming call

Member
Joined
Jan 5, 2019
Posts
24
Reaction score
7
Je unaijua hii

Ubora wa baba hauonekani katika mali zake nyingi ulizonazo, magari majumba, ndoto nyingi, mawazo na malengo mengi big noooo

Baba aliyebora ataonekana tu inapotazamwa familia yake (mke +watoto) wanavyoishi ita reflect ubora wa baba huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke na watoto kupendeza inategemea pesa,pesa inasaidia familia kula,ada,matibabu na mengine mengi.
Ukiwa baba mwenye familia na hauna pesa....rafiki acha kabisa.
 
Umetizama jambo moja tu kwa familia la kupendeza ambalo mimi sijalilenga

Ruhusu akili yako ifikiri kwa upana zaidi
Hapa ni home of great thinker

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna baba jina na baba mtekelezaji,we uko kundi gani?
 
Uandishi wako wa 'big noooo' unaonyesha ni kiasi gani vilivyokukolea.

Kukusaidia tu hakuna 'baba bora' bali kuna 'baba tajiri'.
 
Mke na watoto kupendeza inategemea pesa,pesa inasaidia familia kula,ada,matibabu na mengine mengi.
Ukiwa baba mwenye familia na hauna pesa....rafiki acha kabisa.
M naona hata hivi n vigezo pia.
Lakin pia hata ze way watoto jinsi wanavoishi kwa kuheshimiana na kuheshim wanajamii pia, mavaz yao etc.
Hayo pia hu-determine ubora au sifa za baba wa familia lakn hapa hata mama anahusika pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom