Kwahakika Nimelimiss Jukwaa Hili -I Miss You Wapwaz na Binamuz

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
864
Wapwaz and Binamuz.Salaam sana.

Kwa takribani miezi sita sasa sijahudhuria jukwaa letu pendwa MMU as I used to be.Nimewamiss marafiki wazuri niliowapata kupitia Jukwaa hili.Jukwaa la Upendo,Ushirikiano na mshikamano.Jukwaa lisilo na stress wala mapovu. Kwa hakika nimewamiss sana Wapwaz na Binamus tena kwa sana.Nawasalimu sana.


Hivi vile vikao vya kukutana pamoja bado vipo? Nawatakia kila la heri katika mambo yenu.


Kutoka Dodoma

Gender Sensitive(GS)
 
karibu sana......tulikumiss muda sasa......lakini natumaini hutapotea hivyo tena.......
 
Hata sisi wadau tumepunguza kasi umeme unatuua.., si unajua tena computer azitumii mafuta ya taa (ingawa na yenyewe yamepanda bei)....

Duh hali ikiendelea hivi 2015 kwenye ballot za wabunge nita-vote for (non of the above) :(
 
regia mna mpango gani na haya mambo ya jairo na ukosefu wa umeme?
nilikiri ndio wakati maalum wa kufanya maandamano nchi nzima
 
GS!!!...michango yako inahitajika hapa,...jahazi limepoteza muelekeo kwenye taasisi hii!
Missed you too!
 
Back
Top Bottom