Maana ya kusimamia kucha

Maana ya kusimamia kucha

Jaman naombeni msaada wana jf kwa aka kaneno ambako kamekua maarufu siku hizi ambako kanatumiwa sana siku hizi na watu wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwanini hauku uliza huko huko ulipo sikia huko kusimama kwa kucha.... Kisha ukakuja kuanzisha uzi ukiwa na habari kamilifu...!!??[emoji45] [emoji45]
By the way, karibu jf
 
Ilo neno mtu akiliongea naelewa anamanisha nini ila tatizo kulitolea maana kwa mtu mwingine ndio utata

Ila nafikiri ni kama
Kusimamia kucha ni kama kutake over/kutamba/kuibuka kinara/kung'ang'ania/kupambana
 
Avatar na jina havifanani...join 7 hours ago
 
Back
Top Bottom