Wanawake Mtuhurumie!

Wanawake Mtuhurumie!

Juuchini

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
1,968
Reaction score
2,832
Hatari sana
Screenshot_20190106-162241.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke kaamua kumsitiri jamaa yake kwa miaka 20 kwa kumzalia nje...

Jamaa inabidi hilo suala alimalize kimya kimya... sababu yeye ndiyo kwenye matatizo...

Cc: mahondaw
 
Huko ni kunikosea adabu.

Hakuna kitu kinaumiza kama kulea mtoto sio wako. Na pengine bado anaendela kuchepuka. Bora niwe mpweke kuliko kulea watoto sio wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Panapo kuja swala zito kama hili, inahitaji busara sana kuliko hasira aiseeee.....
Sisi wanaume tulio pevuka, haya tunayajua sana
 
Wanawake bana miaka 20 ?? Siri daaahh.

Mwenye watoto?naye hajawah hata lopoka ???

Itakua alipandikizwa .....

Atulie tu!!... Mmama alitaka Maisha mazuri lkn bado aliwataka watoto...afanyaje?.
 
Panapo kuja swala zito kama hili, inahitaji busara sana kuliko hasira aiseeee.....
Sisi wanaume tulio pevuka, haya tunayajua sana
Mzee busara wakati inaibiwa.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mungu anisamehe busara hizo saina kabisa. Yaani lazina ajute kunifahamu

Mzee umeto....mbewa miaka 20 bado uweke na busara tena.

Big noo mzee yaani hapo hao watoto wanondoka. Usikute jamaa kawasomesha hapo ndio maumivu zaidi!

Okay....
Kwamfano kama ndio ingekua wewe, umefanyiwa mkeo na kisha unakuja kugundua ukweli after 20 good years kwamba hata hao wana hajatokea kwa kiuno yako, at the same time umewasomesha/kuwatibu/kuwalisha na kuwavisha kwa mwaka zote hizo...
Haya naomba uniambie, unge fanya aje..!!??
 
Nakata misada yote mpaka mwanamke anambie imekuwaje hao Matoto. Yaliyopita sindwele tunaanza hapo tulipo.

Ila watoto ndio basi tena!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa sawa.

Kwa mzee baba bilionea amechukua maamuzi gani mtoa uzi kwa kushirikiana na Milard?
 
Ni hatari,lakini inaweza ikatatulika kwa kuwa tajiri hakuwa na uwezo wa kumpa ujauzito mkewe.
 
Duh ,viumbe wasio na jinsia ya kiume ni hatari sana
 
Back
Top Bottom