Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Watafiti wameweka wazi kwamba wale Watu ( Wapenzi ) ambao huwa na Mahusiano kwa Miaka Mitatu na Kuendelea kabla ya Kufunga Ndoa wakija Kuishi pamoja Ndoa zao huwa na Mafanikio na hawaachani hadi...
14 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakuu naomba kwa wanaofahamu materials(eg Gold, Tanzanite) ambayo pete za uchumba zinakiwa kuwa nayo ambayo yanapatikana kwa sonara. Hapa namanisha common material ambazo hutumika kutengeneza...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Msomali Inasemekana katika mataifa barani Afrika yenye wadada wenye ulimbwende wa asili basi mataifa haya matatu; Eritrea, Ethiopia na Somalia, kamwe hayawezi kukosekana katika namba za juu...
24 Reactions
69 Replies
10K Views
Zero IQ mimi ndio naamini hivyo kwangu kufanya mapenzi (ngono) siyo dhambi . Ukiniuliza kwa nini nitakujibu tu kwamba ni ka mbinu tu walichotumia wazungu ili tuogope kujipimia utamu kwa mademu...
6 Reactions
103 Replies
14K Views
Lakini mama... 09/23/2017..saa tano usiku Ni saa tano usiku ambapo nimemaliza kufunga milango ya nyumba na kuzima taa moja baada ya nyingine kutokea sebuleni kuelekea chumbani kwangu huku akili...
28 Reactions
46 Replies
8K Views
Hivi mwanamke mpenzi wako ambaye bado ujawai kukutana naye kimapenzi anapokuandikia SMS kama hiyo hapo chini ya mwisho kabisa anakua anamaanisha nini !? Kwa wenye uzoefu naombeni ufafanuzi...
3 Reactions
99 Replies
7K Views
Habari wakuuu, Kwanza niwatakie Xmas njema. Kwa upande wangu kwa mahesabu yangu nimetembea na wanawake 23 kwenye umri wangu huu wa miaka 28+ Kati ya 23 wake za watu ni 3 Mademu wangu 20...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu mimi kijana, mtoto, mdogo wenu maji @ya Gundu nimependa tena,Ni miaka mitano imepita tangu niwe kwene mahusiano yale ya usirious kabisa Na niliapa sitokuja kupenda tena baada ya kuumizwa...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Kama kichwa kielezavyo naona mambo mengi ya kitoto kuendelea katika jamii zetu, hivi mwanaume unaanzaje kulia kwa kumvisha mwanamke Pete, mwanaume unaanzaje kumpigia mwanamke magoti, je upendo...
1 Reactions
87 Replies
10K Views
Mambo mengine bhana.. Jimama moja nimeliibukia bwana na ma swaga,,,, likanibaniaaa lakini mwisho wa siku likaja kukubali kuingiliwa na mimi mtu aliyejaa kasumba. kabla hatujapanga siku ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa Me hivi Ulishawahi kuwa na mpenzi aliyekeketwa?, na kwa Ke je ulishawahi kuwa na mpenzi Asiyetahiliwa? Je ulikuwa unajisikiaje pale ulipokuwa nae faragha? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Pichani Santi Carzola akiwa na Isco katika timu ya Malaga ya Spain...pembeni ya Uwanja kuna Dogo Muokota Mipira (Ball Boy) anawashangaa. Ball Boy huyu ni Brahim Diaz",Mchezaji Mpya Wa Real Madrid...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanamke: Anaweza kufanya jengo kuwa nyumba, nyumba ya amani na furaha Anaweza kukufanya ukafanikiwa na kubarikiwa Anakupa watoto kwa Majina yako, anabeba majukumu yako kwa watoto wako. She...
26 Reactions
144 Replies
16K Views
Dada zangu kabla haujaingia kwenye mahusiano na jamaa yeyote yule. Akianza kukusumbua fanya hivi... Chukua picha yake post facebook, instagram, twitter, Snapchat na WhatsApp status uliza huyu...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Maisha haya buana eti siku hizi na wabongo na sisi tuna break up na Ku move on..Like serious ..!!! Hahahahaha . are we for real au tunawaiga tu wazungu? Kama.alivyo sema Lord Eyes kwenye wimbo...
3 Reactions
52 Replies
4K Views
Habarini za asubuhi wakuu.natumai muko njema asubuhi ya leo. Kwanza kabisa ndoa ni katika jambo ambalo lilikuwepo tokea enzi za mababu zetu hapo zamani za kale na waliheshimu kitu hii. Licha ya...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Huyu jamaa yangu mbwiga sana.sisi wajanja tushashtukia hii issue kitambo sana ( babu jinga tulia ufikiri mali yako inaliwa) Kama masikhara mkewe miaka kadhaa iliyopita alikuwa anafanya kazi...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Siku ya leo asubuhi nilikuwa najisikia vibaya kiafya basi Nikatoa taarifa kwa watu Wangu Wa karibu ikiwemo ndugu na marafiki ,baada ya hapo nikalala usingizi Ilipofika mida ya jioni nikaona...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Tizi, shamba kulima, kula msosi wa maana, kunywa maji mengi, kula vitu natural, kupunguza stress, mawasiliano ya mara kwa mara na my wife. Mambo haya yote leo yameniletea heshima kwa nyumba...
5 Reactions
33 Replies
5K Views
Back
Top Bottom