Wanaokuwa na Mahusiano kwa miaka mitatu na kuendelea kabla ya Kuoana, Ndoa zao huwa na Mafanikio na hawaachani hadi Kifo

GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,116
Likes
39,861
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,116 39,861 280
Watafiti wameweka wazi kwamba wale Watu ( Wapenzi ) ambao huwa na Mahusiano kwa Miaka Mitatu na Kuendelea kabla ya Kufunga Ndoa wakija Kuishi pamoja Ndoa zao huwa na Mafanikio na hawaachani hadi Kifo kiwatenganishe.

Wewe umeonana na Demu jana tu ( January ) mwezi ujao ( February ) unachumbia na mwezi March unafunga Ndoa kwanini isivunjike au mkafumaniana au hata mkaishia Kuchinjana tu hadi kutoana na ' Makolomero ' yenu na Kumkosea Mwenyezi Mungu?

Chanzo Taarifa: Mtandao wa TibaFasta.

Nawasilisha.
 
denzo

denzo

Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
12
Likes
15
Points
5
denzo

denzo

Member
Joined Jun 6, 2016
12 15 5
Watafiti wameweka wazi kwamba wale Watu ( Wapenzi ) ambao huwa na Mahusiano kwa Miaka Mitatu na Kuendelea kabla ya Kufunga Ndoa wakija Kuishi pamoja Ndoa zao huwa na Mafanikio na hawaachani hadi Kifo kiwatenganishe.

Wewe umeonana na Demu jana tu ( January ) mwezi ujao ( February ) unachumbia na mwezi March unafunga Ndoa kwanini isivunjike au mkafumaniana au hata mkaishia Kuchinjana tu hadi kutoana na ' Makolomero ' yenu na Kumkosea Mwenyezi Mungu?

Chanzo Taarifa: Mtandao wa TibaFasta.

Nawasilisha.
Naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mc bonm

mc bonm

Member
Joined
Sep 22, 2018
Messages
38
Likes
25
Points
25
mc bonm

mc bonm

Member
Joined Sep 22, 2018
38 25 25

Wasio oa somo liwaingie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
4,675
Likes
6,433
Points
280
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
4,675 6,433 280
Mkuu GENTAMYCINE kama kuna atakaekubishia hapa nipo tayari kutoa testimony ikiwezekana ili kulipa nguvu bandiko lako.

Mimi nilikaa miaka nane,2005 to september 2013.kuna faida nyingi sana unazipata ukifanikiwa kuwa hivi

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
4,675
Likes
6,433
Points
280
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
4,675 6,433 280
Wasio oa somo liwaingie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo vijana siku hizi wachumba wanawatafuta wakati kunapoanza kukucha,fikiria mtu anaanza kutafuta mwanamke serious akiwa aged 28/30 utegemee akae miaka sita akisubiri si atakuja kulea wajukuu?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
mc bonm

mc bonm

Member
Joined
Sep 22, 2018
Messages
38
Likes
25
Points
25
mc bonm

mc bonm

Member
Joined Sep 22, 2018
38 25 25
Kati ya mambo ambayo huwa siyaelewi ni kumsikia kijana wa umri 28/30 anasema sina mchumba ama sijui ntaoa lini.

B

Bizoo1

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2018
Messages
388
Likes
267
Points
80
B

Bizoo1

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2018
388 267 80
Wengine wameachiwa njiani .Wenye shengeli wamevuruga move
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,116
Likes
39,861
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,116 39,861 280
Kati ya mambo ambayo huwa siyaelewi ni kumsikia kijana wa umri 28/30 anasema sina mchumba ama sijui ntaoa lini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mbona naitafuta 40 sasa na wala sina mpango wala nia hiyo Mkuu? Leo hii hakuna Waolewaji wala Waoaji nimemaliza.
 
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
21,510
Likes
15,677
Points
280
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
21,510 15,677 280
Mara nyingi urafiki unakuwa wa muda mrefu hivyo kwa sababu ya access ya ngono. Mwanaume akipewa papa akili inatulia, hawazi tena mambo ya kuoa, ndio maana mahusiano mengi siku hizi yanakuwa sugu hadi kufikia ndoa.

Naamini urafiki wa miezi sita-mwaka unatosha sana, then process za uchumba zianze.
 
Mkorintho wa 6

Mkorintho wa 6

Senior Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
172
Likes
197
Points
60
Mkorintho wa 6

Mkorintho wa 6

Senior Member
Joined Sep 21, 2018
172 197 60
Watafiti wameweka wazi kwamba wale Watu ( Wapenzi ) ambao huwa na Mahusiano kwa Miaka Mitatu na Kuendelea kabla ya Kufunga Ndoa wakija Kuishi pamoja Ndoa zao huwa na Mafanikio na hawaachani hadi Kifo kiwatenganishe.

Wewe umeonana na Demu jana tu ( January ) mwezi ujao ( February ) unachumbia na mwezi March unafunga Ndoa kwanini isivunjike au mkafumaniana au hata mkaishia Kuchinjana tu hadi kutoana na ' Makolomero ' yenu na Kumkosea Mwenyezi Mungu?

Chanzo Taarifa: Mtandao wa TibaFasta.

Nawasilisha.
Naunga mkono hoja

Mkorintho wa 6
 
D

Daftari la Watoro

Senior Member
Joined
Mar 13, 2017
Messages
195
Likes
362
Points
80
D

Daftari la Watoro

Senior Member
Joined Mar 13, 2017
195 362 80
Wazinifu wakipiga promo uozo wao, bila shaka ni wazungu waliotoa tafiti hizi ambao ndio wanaoongoza kwa kuchelewa kuoana na wanaoongoza kwa kuachana DUNIANI. Kuna wanawake ambao ni wife material na wengine sio, we umuoe mwanamke km Uwoya/Snura/Wema n.k. unategemea nini?
 
mc bonm

mc bonm

Member
Joined
Sep 22, 2018
Messages
38
Likes
25
Points
25
mc bonm

mc bonm

Member
Joined Sep 22, 2018
38 25 25
Mimi mbona naitafuta 40 sasa na wala sina mpango wala nia hiyo Mkuu? Leo hii hakuna Waolewaji wala Waoaji nimemaliza.
Kutokua na mpango wa kuoa sii tatizo. Tatizo ni yule anaejua kua ataoa ila anafika umri huo hajui ataoa lini wala atamuoa nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heaven Sent

Heaven Sent

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Messages
19,350
Likes
27,283
Points
280
Heaven Sent

Heaven Sent

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2013
19,350 27,283 280
Na huu ndo ukweli kwa % kubwa.
Mara nyingi urafiki unakuwa wa muda mrefu hivyo kwa sababu ya access ya ngono. Mwanaume akipewa papa akili inatulia, hawazi tena mambo ya kuoa, ndio maana mahusiano mengi siku hizi yanakuwa sugu hadi kufikia ndoa.

Naamini urafiki wa miezi sita-mwaka unatosha sana, then process za uchumba zianze.
 
Forum statistics

Threads 1,251,668
Members 481,836
Posts 29,779,786