Kufanya mapenzi( Ngono) siyo dhambi.

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Zero IQ mimi ndio naamini hivyo kwangu kufanya mapenzi (ngono) siyo dhambi .

Ukiniuliza kwa nini nitakujibu tu kwamba ni ka mbinu tu walichotumia wazungu ili tuogope kujipimia utamu kwa mademu zetu wakali (wenye Chura,makinikia) kama yule siti nani sijui waliomuweka kwenye makumbusho yao,

Wanaume tumeumbwa Rijari kwa kazi moja tu ya kibiolojia sasa kwa nini iwe dhambi,

Unaogopa kuitafuna papuchi ya jirani anaekushobokea kisa eti umeoa unaogopa dhambi, ,

Ulishawahi kujiuliza kwa nini Mungu kaumba wanawake wengi kuliko wanaume yaani ile Ratio ya 4:1?

ingekuwa kufanya mapenzi dhambi basi ata ratio ingekuwa sawa yaani 1:1,

Mfalme suleiman alikuwa kipenzi cha Mungu hadi kufikia hatua ya kupewa hekima na utajiri usiomisilika lakini hakuona dhambi kuwa na mademu 700 plus masuria (michepuko) 300,

Wewe na kademu kako kamoja eti unaogopa kumcheat kwa kuogopa dhambi? nani kasema .

Dhambi ni kuiba mali ya mtu ,kumtukana mtu na kumkosea heshima,kuua na zingine nyingi lakini siyo kufanya mapenzi,

Nawaambia ingekuwa dhambi hakika muumbaji asingekubali hii update ya mademu wa siku hizi wenye chura ipitishwe .

Cc Zero IQ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi girl wako huwa anashika simu yako
Kuipiti pitia kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini unauliza hivyo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Namuonea huruma kwakweli
Kama kweli uandikavyo ndivyo ulivyo in real life

Hivi akikaa na wenzake anasema Nina baby wangu zero IQ ananipenda,namuamini sana yani nimetulia kwa ajili yake,hamna wa kunivua kufuli zaidi yake

Angejua huyo zero IQ yupoje,jf peke etu ndo tunajua mwee kama namuona vile alivyokituliza nyumbani kusubiri Mr apakute safi,mtoto wa watu kama hajasafisha kashanunua zake Gillette ukute safi na kaogea na sabuni ya ayuu anukie kumbe Mr mwenyewe kila siku anarufi ana jasho jipya mhhh!!!!!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom