Leo heshima imerejea kwenye ndoa yangu

Leo heshima imerejea kwenye ndoa yangu

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,349
Tizi, shamba kulima, kula msosi wa maana, kunywa maji mengi, kula vitu natural, kupunguza stress, mawasiliano ya mara kwa mara na my wife.

Mambo haya yote leo yameniletea heshima kwa nyumba yangu.

Nimepiga mzigo wa maana.

Piga chenga kama dua said goli la kwanza hiloooo.

Mara baada ya goli kuingia mzee baba akawa amesimama kama limti hivi.

Mzee baba akaingia uwanjani ndani ya muda mchache, kuja kumaliza mechi mzee bibi kaloa baraaa hadi shuka kugeuka ziwa.

Gemu liliiisha bila mzee baba kufunga goli la tatu.

Huku mzee bibi kashalowesha shuka baraa.

Mzee baba ikabidi achomoke mchezoni huku akiwa ngangari baraaa.

Ndugu zangu tumieni vitu natural, na pigeni mazoezi hasa ya kulima shamba.
 
AIRBUS kama hii ya leo, itawasili Mwezi ujaio!
 
Ukiona hivi ujue kinachofuata ni long time of inactivity!

Yaani umeona ajabu sana mpaka umeweka hapa,it means loong time passed without being this active!

Kinachofuata ni rubber band effect...unajua rubber band effect?
 
Mkuu, mbona hii game mmoja umejishangilia na kujipa uhodari sana?? Simalizie mechi zote zilizobaki hivyo hivyo, ndiyo tukutangaze BINGWA!!!!!
 
Mambo ya unga wa Kongo na pilipili ya Akabanga hayo😅😅😅
 
Ukiona hivi ujue kinachofuata ni long time of inactivity!

Yaani umeona ajabu sana mpaka umeweka hapa,it means loong time passed without being this active!

Kinachofuata ni rubber band effect...unajua rubber band effect?
😭😂😂😂 kama hajui usimwelekeze mwache utampa stress na kama akisema anajua mwambie ulikuwa unatania
 
Hii inanikumbusha mechi ya jana Cardiff City v Manchester Utd. MAN Utd hakuwahi kufunga goli tano tangu 2013 [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kumbe hata bao la tatu hukufika
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Anamaanisha raundi ya tatu aliburuza mpaka wakachoka bila ya bao la tatu kutoka.
Kijana kaamua kushangaa mambo ya kawaida mpaka kayamwaga kwenye janvi.
 
Back
Top Bottom