Habari za siku wanajukwaa..
Kiukweli sijui ni matatizo au hali ya kawaida, siku zinavyozidi kwenda najikuta kuvutiwa sana na mabinti wa kiislamu hasa hawa wanaovaa hijabu.. sina sababu maalum...
Kuna hili suala ambalo nimeona sio vibaya tukiulizana kujua utashi wa kila atakayechangia tuone kipi watu wanapenda zaidi inapobidi kuchagua kimoja.
Ni ndoto ya kila mmoja kupata mwanamke...
Nina miezi michache na huyu manzi, ila kuna katabia kake nimekagundua.
Ikitokea nimevaa nguo ya juu na akaipenda anataka nimpe hiyo hiyo hataki nyingi.
Vipi wenzangu, ishawahi watoke hii au ndio...
Salam wana J,Forums
Naomba nsaidien wivu n nn??
Na je n kweli penye wivu ndipo penye mapenzi ya dhati??
Na pasipo na wivu hakuna mapenzi ya dhati??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ndugu zangu wanaume tunakwama wapi? Mbona tunafanya mambo ya ajabu sana ambayo baadaye yanatughalimu sana.
- Hivi unawezaje kuoa mwanamke mwenye watoto huku ukijua kabisa wewe kipato chako...
Siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa huwa ni siku moja tu kwa mwaka na wengine huwa inakuwa siku muhimu kwao. Je ni vibaya kusahau au kutojali siku ya kuzaliwa kwa mpenzi wako? Maoni yenu wadau. Najua...
Unagundua mtu anacheat lakin bado unamsamehee,unatumai atabadirika,kitu hatari zaidi kwenye mahusiano ni kuoa mtu kwa sababu unampenda kunauwezekano mkubwa ndoa ikaja kusumbua mbele ya safari kwa...
Natafuta Mpenzi baadae awe mke wa kuoa. Umri wangu ni miaka 33, mfanya biashara, mkristo, Elimu Chuo kikuu.
Sifa za mke:
Elimu yoyote iwe la saba au chuo kikuu.
Sipendi mwanamke mlevi
Umri...
Dunia ya Mapenzi haijawahi kuwa rafiki namoyo wangu.. Ndio maana kila siku nimekuwa mtu wa kuuguza majeraha ya kutendwa.. Kuna wakati nikikaa huwa nawaza hivi huwa nakosea wapi?!!!!!! Laiti kama...
Mi mgeni hapa mjini mwanza, nimefikia maeneo ya nyakato, ila cjajua viwanja vya kuwapata madada poa, cause nina mshahara wa mwezi huu nataka kula wote na mmoja wa dada poa atakayenipendeza, naombe...
Nimekutana na stori wadada wawili.mmoja anamwambia mwenzake kwamba watafute hela wapate magari na majumba Kisha wakanunue mbegu za calisah yule mwanamitindo Kisha wapandikize wapate watoto...
Hawa wake zetu au mademu zetu kwenye mioyo yao wana jambo zito sana wanayamani kulisema ila wanapata hofu au kuona huruma au kujisikia vibaya kulisema...
Sasa hapa natoa uwanja kwa wadada kusema...
Wakuu kama kichwa kisemavyo,katika pitapita zangu na miangaiko ya hapa na pale hapa jijini nimeona tabia moja ambayo acha niseme hapa jf.
Kama ilivo kawaida yetu wanaume kila akipita mwanamke...
Habari za mchana mabibi na mabwana wa JF MMU,
Nalipenda hili jukwaa sababu ya Mahaba niliyonayo, yaani mie mwenyewe ni Mahaba hivo kila kinachonihusu kwa namna moja au nyingine kitapata Mahaba...
........Nimekutana na mdada mmoja Mitandaoni.. Tukafikia kupeana namba za CM name mwisho mawasiliano yetu yakakua Sana Kama Miezi 3-4 Hivi.
..Akaja Dar es salaam kwa Ndugu zake Mbagala Rangi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.