Naombeni mbinu wakuu

Naombeni mbinu wakuu

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,121
Reaction score
4,856
Wakuu mimi kijana, mtoto, mdogo wenu maji @ya Gundu nimependa tena,Ni miaka mitano imepita tangu niwe kwene mahusiano yale ya usirious kabisa

Na niliapa sitokuja kupenda tena baada ya kuumizwa na binti mmoja wa kinyakyusa jina lipo kwene mabano

Tuache hayo na tujikite sana kwene hili nnaloenda kuliwasilisha saa hii. Kuna binti mmoja hivi wa kihehe ametokea kunichanganya akili sana amenirudisha kwene ulimwengu wa kupenda,nimejikuta nampenda sana afu sina sababu naombeni mnisaidie mbinu ya kumpata maana mi kwa uwezo wangu naelekea kukata tamaa

Nimemfuata zaidi ya mara moja hata kunipa nafasi ya kuongea nae hanipi nikaona isiwe kesi nkaenda Kwa njia nyingine ya kumpelekea vizawadi bado ananitolea nje yaani inaonesha wazi ananichukia na mimi kiukweli nampenda sana

Ni hilo tu naombeni mnisaidie mbinu ili nimpate uyu binti





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndo nakataa kukubali kabisa unampendaje mtu hata hujawahi kuongea nae, kupiga nae stor kujua jinsi anavyoongea
Mimi mpaka namtongoza mwanamke nakuwa sijampenda ila nimeona taswira yake tunaeza endana tukiingia ktk mahusiano ndipo moyo wa kumpenda unapojitokeza nikinaswa kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu mimi kijana, mtoto, mdogo wenu maji @ya Gundu nimependa tena,Ni miaka mitano imepita tangu niwe kwene mahusiano yale ya usirious kabisa

Na niliapa sitokuja kupenda tena baada ya kuumizwa na binti mmoja wa kinyakyusa jina lipo kwene mabano

Tuache hayo na tujikite sana kwene hili nnaloenda kuliwasilisha saa hii. Kuna binti mmoja hivi wa kihehe ametokea kunichanganya akili sana amenirudisha kwene ulimwengu wa kupenda,nimejikuta nampenda sana afu sina sababu naombeni mnisaidie mbinu ya kumpata maana mi kwa uwezo wangu naelekea kukata tamaa

Nimemfuata zaidi ya mara moja hata kunipa nafasi ya kuongea nae hanipi nikaona isiwe kesi nkaenda Kwa njia nyingine ya kumpelekea vizawadi bado ananitolea nje yaani inaonesha wazi ananichukia na mimi kiukweli nampenda sana

Ni hilo tu naombeni mnisaidie mbinu ili nimpate uyu binti





Sent using Jamii Forums mobile app
Niku dokezee kitu kijana mwenzangu

"mwanamke ili awe na mapenzi ya dhati kwako sharti akupende mwenyewe, au uwe na pesa za kutosha"

Tofauti na hapo utakua unatwanga maji, au kuichora namba 8 kwenye dimbwi la maji'

But keep on disturbing her, maana hawa viumbe wanapenda kusumbuliwa sana ukionesha userious katika hilo kwanza wanajikuta wanapata huruma flani hivii ya kike kike na kuanza kukulegezea kamba,

'Ila pia don't entertain show off to her'


Ni hayotu mkuu[emoji523][emoji524]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom