Maisha ni Safari, kuna Muda yanakuwa Amarula.

RASCO BOY

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
428
485
Pichani Santi Carzola akiwa na Isco katika timu ya Malaga ya Spain...pembeni ya Uwanja kuna Dogo Muokota Mipira (Ball Boy) anawashangaa.

Ball Boy huyu ni Brahim Diaz",Mchezaji Mpya Wa Real Madrid aliyesajiliwa katika dirisha hili la January sasa atacheza na huyo Isco.

#Note: Sio kila Muda Maisha ni Safari kuna Muda yanakuwa Amarula.
FB_IMG_1547009393635.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahusiano, Mapenzi na Urafiki

Toa siredi yako huku sio mahala pake
 
ila wengine tabu bado iko pale pale, hatupigi hatua za kimaendeleo zaidi ya umri kusonga ma madeni kuongezeka
 
Back
Top Bottom