Njia ya kupunguza risk ya kuwa mchepuko au kupangiwa foleni

Lee Napoleon

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
896
566
Dada zangu kabla haujaingia kwenye mahusiano na jamaa yeyote yule.
Akianza kukusumbua fanya hivi...
Chukua picha yake post facebook, instagram, twitter, Snapchat na WhatsApp status uliza huyu boyfriend wa nani..?
( Hakikisha unamTag )

Kama ikipita wiki hakuna alojitokeza
Kusema ni wakwake, uko huru kujibebea..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ela ipo suala la kuwa mchepuko sjui kwene foleni those are minor things, mtuache bana:mad::mad:
 
Akipost tu unakata mirija

Back
Top Bottom