Huu Utamaduni wa kumpigia mwanamke magoti na kulia tumeutoa wapi?

mtu watu

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,123
1,616
Kama kichwa kielezavyo naona mambo mengi ya kitoto kuendelea katika jamii zetu, hivi mwanaume unaanzaje kulia kwa kumvisha mwanamke Pete, mwanaume unaanzaje kumpigia mwanamke magoti, je upendo wetu hupo kwa maonesho hayo au ni ulimbukeni?

Nauliza huu utamaduni tumeutoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna rafiki yangu mkurya mmoja alikuwa mtu mwenye msimamo saana against hilo jambo. Juzi kati hapa kamvisha mtu pete alipiga magoti nlishangaa mno jinsi da'slam ilivyo mbadilisha.

Utamaduni unanabadilika mkuu. Yeyote kupiga goti ni sawa tuu kikubwa upendo na heshima kwa kila mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah daslam imeharibu sana wanaume wa mkoani.
 
Kama kichwa kielezavyo naona mambo mengi ya kitoto kuendelea katika jamii zetu, hivi mwanaume unaanzaje kulia kwa kumvisha mwanamke Pete, mwanaume unaanzaje kumpigia mwanamke magoti, je upendo wetu hupo kwa maonesho hayo au ni ulimbukeni?

Nauliza huu utamaduni tumeutoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tumeutoa wapi. Mimi sipo katika utamaduni huo na naamini wingi wetu hatupo hivyo. Sema mhusika ameutoa wapi
 
Ni idhaifu mkubwa katika jamiii kumpigia magoti mwanamke.. upendo na kupiga magoti havina uhusiano kabisa.

Wanaopigia magoti wanawake ndio wanaongoza kuwa na migogogoro na wake zao.

Mwanaume anawakilisha uimara, ulinzi, usalama wa familia. Magoti achia wanawake maana hakuna kitu kizuri mwanamke kupiga magoti ila sio kwa mwanamke mwenzie.
Mtu atakae kuwa best friend wako, atakaejua unakula nini leo, unafuraha au huzuni. Mama wa watoto wako kwanini usimpigie goti siku moja tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa kielezavyo naona mambo mengi ya kitoto kuendelea katika jamii zetu, hivi mwanaume unaanzaje kulia kwa kumvisha mwanamke Pete, mwanaume unaanzaje kumpigia mwanamke magoti, je upendo wetu hupo kwa maonesho hayo au ni ulimbukeni?

Nauliza huu utamaduni tumeutoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unampigia Mola muumbaji WA vitu vyote goti na si vinginevyo
Mimi nilishagoma Hata adhabu ya kupiga magoti shule
Leo uniambie nimpigie binadamu mwenzangu goti kisa papuchi bora nimkose tu
 
Back
Top Bottom