moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,354
- 5,030
Siku ya leo asubuhi nilikuwa najisikia vibaya kiafya basi
Nikatoa taarifa kwa watu Wangu Wa karibu ikiwemo ndugu na marafiki ,baada ya hapo nikalala usingizi
Ilipofika mida ya jioni nikaona missed call 10 na sms 3 za mchumba Wangu,kumcheki mrembo alikuwa amewaka kinoma
Nikajaribu kumuuliza what is going on? ,she said kuna mtu(she mwingine),kanipost fb then kanitag ,na kuandika maneno ya mahaba,
Mpaka dakika hii mchumba Wangu hanielewi kabisa,halafu mtu wenyewe aliyenipost sina mahusiano yoyote ,daah
Siku nyingine nyie mabinti muombe ruhusa kabla haujampost mtu,
#new year,new life
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app