Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kunyonyesha hupunguza hamu ya sex Kukosa hamu ya tendo la ndoa ni jambo la kawaida baada ya kujifungua mtoto na wakati mwingine huendelea hadi baada ya mwaka mzima hasa kwa mwanamke anayenyonyesha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hakuna uhusiano bila urafiki; ila hakuna urafiki Kati ya mwanaume na mwanamke either mmoja au wote mnavumiliana ila ipo siku mtabinjuana tu Ishu yangu ni hii umemtongoza mwanamke na anaonekana...
4 Reactions
91 Replies
6K Views
1. Mwanaume upo kwenye mahusiano na mwanamke anachoona kikubwa kwako ni kutokumcheat tu!!!!! 2. Mwanamke upo kwenye mahusiano na mwanaume faida yako ni sex tu????? Chukua hatua.
3 Reactions
140 Replies
7K Views
Wanaume wengi tumekua na tabia ya kusingizia pesa na maumbile ndo tatizo la wewe kutoweza kumlidhisha mwanamke wako. Jambo ambalo tunashindwa kuelewa ni kwamba, unaeza kumpa mwanamke wako hata...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi hili linawezekana kwamba mama mzazi anakuchukia wewe mtoto wake wa kukuzaa Kama haitoshi anamchukia mkeo na mbaya zaidi anawatukana mpk wakwe zako na it means hataki uoane na huyo binti je...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Chombo.... Kasie Chombo.... Cheusi Mangala ....Kasie.... .... tukale sangara..... Mwanza.... Nywele chotara ..... Kasie .... heheheh ooh laalaaah raaahaaaa Bibi kaupara..... Choomboo...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Nataka niishi Iringa, watu wake wako poa sana, Kwa mwezi niliokuwa hapa, nabaki. kiubaridi flani hivi cha kula blanket na sweta. Wa Iringa mjini tufahamiane ili ikiwezekana na mke nipate hapa hapa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Eti Mwanaume kufanya Mapenzi na ama Mkeo au Mchumba au Mpenzi wako bila ridhaa ( consent ) yake ni Kinyume cha Haki za Binadamu na kwamba wanatutaka Wanaume wote ulimwenguni kujenga tabia ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Naomba kuuliza, mwanaume akilala na msichana ambaye bado bikra hivyo kushindwa kufungua utepe ila akaweza kupenyeza yale maji je msichana huyo kama alikuwa danger anaweza akapata ujauzito? elimu...
1 Reactions
52 Replies
26K Views
Wakuu hizi tabia za kushika simu za mashemeji hazifai! Leo nilikua nimekaa sebleni nimepewa nirekebishe simu ya shemeji kidogo ikaingia sms mwanamke Jina kapuni.. MY KARIBU CHAKULA dadeki nusu...
3 Reactions
107 Replies
10K Views
Nashangaa wanaoshangilia na kuwaweka kwenye kumbkumb zao, wanaume au wanaume wanaokumbuka wanawake waliowasababishia maumivu na kumbukumb ya kuharibiwa ukeni kwa tendo la kwanza kabisa Sina Shaka...
1 Reactions
61 Replies
55K Views
Alikuwa secretary ofisini kwetu.nakumbuka sometime alikuwa anakuja amevaa sketi laini bila chupi so kulikuwa na mirindimo ya haja mtoto wa kihaya huyu. Amehamia kampuni nyingine. Sasa najisikia...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Ndugu zangu haikuwa kazi rahisi,mchumba wangu amekubali matokeo na kuamua kunitumia SMS ya kila la kheri, huku akijilaumu kuwa shetani alimzidi nguvu na kudate na mtu mwingine,(rejea uzi wangu)...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Nimewah kuwa karibu na coupe moja ambayo Mwanamke alikuwa na matusi ya karibu aisee... "sjui kwa kuwa alikuwa mlevi?? Maana (ashakhum sio matusi) wanawake wengi walevi ni wataalamu wa kubwatuka"...
7 Reactions
60 Replies
9K Views
mara Nyingi watu wamekuwa wakiumiza kichwa juu ya ndoa, Wanawaza ntaolewa lini? Ntaoa lini? Mbona wenzangu wameolewa na wanafuraha na waume zao? Mbona jamaa zangu wanaoa kila kukicha.. Naomba...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi dem wako kuuongea na simu saa tano usiku mpaka saa sita.....na ulivyomuulizaa ulikuwaa unaongeaa na nani anakuambiaa rafiki....hivi kweli imekaaa sawa hii wana...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
KUNA watu wamezaliwa wakiwa na hofu kubwa ya kuwaogopa mademu wazuri. Kuna mwingine akimuona demu mzuri mtaani, anajisemea kabisa kwamba; yule si taipu yangu, eti kisa kapendeza, msafi na...
17 Reactions
113 Replies
45K Views
Tupo nyuma ya muda jamani hakuna salamu hapa.. Ndugu zangu wanaume tupeane uzoefu wa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja..iwe kwenye ndoa au uchumba.. 1 ni faida ipi ya kuwa na mwanamke zaidi ya...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Ili uweze kufikia malengo yako unahitaji watu sahihi mnaoweza kusaidiana na kubadilishana uzoefu wa kile mnachofanya ili kuweza kufikia malengo yenu; huu ni uzi kwa ajili ya kusema profile yako...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwanamke ambae hakulelewa na baba yake katika utoto wake, pindi atakapokuwa mtu mzima hupendelea kuwa na mwanaume (mwenza)ambae most of the time atakuwa akimuongoza katika Kila jambo regardless of...
2 Reactions
2 Replies
903 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…