Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wameru ni moja ya makabila ambayo yanaongoza kwa ukarimu na utoaji hasa zawadi wakati mtoto wao anapoowa au anapoolewa Yani wewe ukiowa mmeru unashauriwa usinunue chochote hata kijiko mana kwa...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu, Miaka 2 iliyopita nilishika mke wangu na jamaa moja hivi Nilikua nimekwenda kozi ya mwaka mmoja nje ya nchi nilipelekwa na kampuni.Nikiwa huko wife alianzisha uhusiano usiofaa...
5 Reactions
241 Replies
39K Views
Kuna kitabia flani huwa kinanikera sana kwenye mahusiano, karibu asilimia 70 ya mabinti nliotoka nao walikuwa na hii tabia ya kipuuzi. Nikiwa kwenye mahusiano na mabinti wa hapa kwetu huwaga...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari comrades..., Nimekuwa nikijiuliza siku nyingi kwanini wanaume hutoa mahari wakati wa kuchumbia, tofauti na India wanawake ndio hutoa, Je Thamani ya utu wa mwanamke hupimwa kwa pesa..?, jle...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
UNA dhana ipo hususan kwa wanaume wengi kwamba, wanawake wengi wazuri hawafai kuolewa. Wanaishibisha hoja yao kwa kutoa mifano, kwamba wanawake wengi walioolewa na kutulia kwenye ndoa zao ni...
1 Reactions
170 Replies
19K Views
Hivi kwa nini wanawake walioko kwenye ndoa/walioamua kuishi pamoja na mwanaume kama mke na mume wanaongoza kwa kuchepuka sana siku hizi? Tujadili ili tujue tatizo liko wapi panapo majaliwa ambao...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
.....Asikuambie mtu, wasichana wa Mtaani watamu Sana kuliko hawa MA sister Duu. Hawa ni wazuri wa Nguo na Mashauzi tu.. But kiwanjani Hakuna kitu Kabisa. Sungura Tope Watamu Sana. Halafu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana nae mawazo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanawake wanapenda maneno matamu na kusifiwa tu ata kama hajapendeza we mwambie u're so beautfully,napenda jinsi ulivyo lazima ungoe chombo tu, Zero IQ nina kanuni yangu moja tu kwa demu ambae...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwaka juzi kuna jamaa yangu alimuhonga demu wake sh milioni tatu na laki sita ili alipe kodi ya nyumba. Mwanamke kahongwa hela ya kodi kama Leo, kalipa kodi siku hiyo hiyo,kesho yake alfajiri...
7 Reactions
107 Replies
10K Views
Wadada hasa wa mjini wanapenda sana ganda la ndizi. Unakuta dada hata kama anao uwezo wa kununua kinywaji hanunui anasubiri tu ofa ili hela yake ikae tu isitumike. Sasa jana kuna dada mtaani...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Kunyonyesha hupunguza hamu ya sex Kukosa hamu ya tendo la ndoa ni jambo la kawaida baada ya kujifungua mtoto na wakati mwingine huendelea hadi baada ya mwaka mzima hasa kwa mwanamke anayenyonyesha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hakuna uhusiano bila urafiki; ila hakuna urafiki Kati ya mwanaume na mwanamke either mmoja au wote mnavumiliana ila ipo siku mtabinjuana tu Ishu yangu ni hii umemtongoza mwanamke na anaonekana...
4 Reactions
91 Replies
6K Views
1. Mwanaume upo kwenye mahusiano na mwanamke anachoona kikubwa kwako ni kutokumcheat tu!!!!! 2. Mwanamke upo kwenye mahusiano na mwanaume faida yako ni sex tu????? Chukua hatua.
3 Reactions
140 Replies
7K Views
Wanaume wengi tumekua na tabia ya kusingizia pesa na maumbile ndo tatizo la wewe kutoweza kumlidhisha mwanamke wako. Jambo ambalo tunashindwa kuelewa ni kwamba, unaeza kumpa mwanamke wako hata...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi hili linawezekana kwamba mama mzazi anakuchukia wewe mtoto wake wa kukuzaa Kama haitoshi anamchukia mkeo na mbaya zaidi anawatukana mpk wakwe zako na it means hataki uoane na huyo binti je...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Chombo.... Kasie Chombo.... Cheusi Mangala ....Kasie.... .... tukale sangara..... Mwanza.... Nywele chotara ..... Kasie .... heheheh ooh laalaaah raaahaaaa Bibi kaupara..... Choomboo...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Nataka niishi Iringa, watu wake wako poa sana, Kwa mwezi niliokuwa hapa, nabaki. kiubaridi flani hivi cha kula blanket na sweta. Wa Iringa mjini tufahamiane ili ikiwezekana na mke nipate hapa hapa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Eti Mwanaume kufanya Mapenzi na ama Mkeo au Mchumba au Mpenzi wako bila ridhaa ( consent ) yake ni Kinyume cha Haki za Binadamu na kwamba wanatutaka Wanaume wote ulimwenguni kujenga tabia ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Naomba kuuliza, mwanaume akilala na msichana ambaye bado bikra hivyo kushindwa kufungua utepe ila akaweza kupenyeza yale maji je msichana huyo kama alikuwa danger anaweza akapata ujauzito? elimu...
1 Reactions
52 Replies
26K Views
Back
Top Bottom