Mwagito84
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 235
- 716
Nataka niishi Iringa, watu wake wako poa sana, Kwa mwezi niliokuwa hapa, nabaki. kiubaridi flani hivi cha kula blanket na sweta. Wa Iringa mjini tufahamiane ili ikiwezekana na mke nipate hapa hapa aisee [emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app