Je msichana anaweza akapata ujauzito akiwa bikra

Je msichana anaweza akapata ujauzito akiwa bikra

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,474
Reaction score
4,007
Naomba kuuliza, mwanaume akilala na msichana ambaye bado bikra hivyo kushindwa kufungua utepe ila akaweza kupenyeza yale maji je msichana huyo kama alikuwa danger anaweza akapata ujauzito? elimu tafadhali
 
Kwanza kushindwa kufungua utepe ni uzembe..... Anaweza pata mimba kwan maji yale husogea taratibu kuelekea ndani
 
Iwapo manii imemwagwa karibu na uke anauwezekano wa kushika mimba bila kutoka bikila hiyo
 
Naomba kuuliza, mwanaume akilala na msichana ambaye bado bikra hivyo kushindwa kufungua utepe ila akaweza kupenyeza yale maji je msichana huyo kama alikuwa danger anaweza akapata ujauzito? elimu tafadhali
Tena kasi ya kupata mimba ni kubwa zaidi, turudi shule kidog kwenye physics concepts of capilarity, yan is the rising of fluid through a tube, the thickness of the tube is inverse with rising capacity.
Turud uswahilin, kibatari na utambi na mafuta namna yanavyopanda juu.
Hivy kilA njia ikiwa nyumba mba sana, na uwezo WA kupita kwa kasi hayo maji maji nsoyajuwa mim mtoto[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] unakuwa mkubwa sana, na kinyume chake na kilA ukijiona una....... Pana ujuwe uendaje wake huwa mdogo.
Any question so far, rise ur hand plz
 
Tayari una mimba wewe, kama alikumiminia wazungu, na kama wazungu wale wamekomaa vizuri.
 
Huyo siku yakujifungua ataifurai show. Labda afanyiwe upasuaji
 
Naomba kuuliza, mwanaume akilala na msichana ambaye bado bikra hivyo kushindwa kufungua utepe ila akaweza kupenyeza yale maji je msichana huyo kama alikuwa danger anaweza akapata ujauzito? elimu tafadhali
Ndiyo anaweza kupata mimba mfano bikira maria
 
Back
Top Bottom