The psychology of women

The psychology of women

ligimilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
75
Mwanamke ambae hakulelewa na baba yake katika utoto wake, pindi atakapokuwa mtu mzima hupendelea kuwa na mwanaume (mwenza)ambae most of the time atakuwa akimuongoza katika Kila jambo regardless of its complexity
 
Mimi naona huwa na hofu na mwenza wake asije mkimbia kama alivyo kimbiwa na baba yake. Alpha female ndio huwa na tabia ya kutaka kuwaongoza waume zao.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
The opposite is true, this is from the research
Mimi naona huwa na hofu na mwenza wake asije mkimbia kama alivyo kimbiwa na baba yake. Alpha female ndio huwa na tabia ya kutaka kuwaongoza waume zao.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom