Acha kusingizia huna pesa/ maumbile , mridhishe mkeo/ mwanamke wako.

Chopra1235

Member
Jan 5, 2019
14
18
Wanaume wengi tumekua na tabia ya kusingizia pesa na maumbile ndo tatizo la wewe kutoweza kumlidhisha mwanamke wako.

Jambo ambalo tunashindwa kuelewa ni kwamba, unaeza kumpa mwanamke wako hata ATM nzima....akaishia kumpa mtu mwingine baki ambae hata ukuweza kumfikiria.

Kibaya zaidi wanawake wengi wa siku hizi walivyo kua waongo na wenye uvumilivu feki, anaeza ishi na wewe miaka nenda rudi ukafikiri una mridhisha kumbe mtu mwingine anafanya yake nyuma ya pazia .

Kitu kinacho sikitisha zaidi siku hizi, ni kwamba wanaume tumeenda mbali zaidi kubadili maumbile yetu kwa madawa makali na yenye ghalama kubwa....na zaidi yenye madhara kiafya na pia kisaikologia yote ni kufanya hawa viumbe waajabu watukubali......(sikati kuna wengine wanahitaji msaada wa kiafya Kiukweli, lakini pia kuna ili group kubwa ambalo lina fanya hivyo kwa kusudi la kuwafanya wanawake wawakubari).

Ushauri : Pesa sio kila kitu, kama nilivyo andika hapo mwanzo, unaeza mpa mwanamke wako ATM nzima na yeye bila kuichakachua akaigawa hivyo hivyo.

Chukua mda wako kujifunza mambo, sio mda wote unakua busy unatafuta ela ambazo wewe bila kujua zinaishia kwa mwanaume mwenzio.

Soma vitabu, angali sex tutorials, zipo nyingi tu nzuri ambazo zinaweza kukusaidia kumfanya mwanamke wako akaridthika na wewe ukafurahi.

Na Kiukweli akuna kitu kizuri kama ukimpatia mwanamke wako.

Acha kutumia madawa ya kujikuza.......ridhika na maumbile yako.....na tafuta jinsi ya kumfanya mwanamke wako aridhike kwa kutumia hicho ulicho nacho.

N.B kama una mda tafuta, kama huna mda na unashindwa jinsi ya kuzipata una weza ni P.M ni kutumie. Ila itabidi uniungiashe hata ya bundle.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom