deibra
Member
- Jan 10, 2019
- 74
- 35
Hivi dem wako kuuongea na simu saa tano usiku mpaka saa sita.....na ulivyomuulizaa ulikuwaa unaongeaa na nani anakuambiaa rafiki....hivi kweli imekaaa sawa hii wana jf[emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app