Wanawake Wenye matusi ya karibu.

Wanawake Wenye matusi ya karibu.

CHIBA One

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
558
Reaction score
2,102
Nimewah kuwa karibu na coupe moja ambayo Mwanamke alikuwa na matusi ya karibu aisee... "sjui kwa kuwa alikuwa mlevi?? Maana (ashakhum sio matusi) wanawake wengi walevi ni wataalamu wa kubwatuka" lakini licha kwamba si kila siku alikuwa anakunywa.. Hata alipokuwa Mzima bila kilevi (ukizingatia ni mfanyakaz wa taasisi yenye heshima tu) Ilikuwa ni kawaida kwake kumjibu jamaa ake "we msenge nn?? we fala nini?? Toa matako yako hapa.. hata akipigiwa simu lazima abwagize na tusi.


Aina hii ya Mwanamke mi ilikuwa inanishangaza, licha ya kuwa Walikuwa wanapendana vizuri tu..

Sjui kama kuna Mwanaume anapenda kutukanwa hata kwa utani.. Kwangu isingeweza kukubalika.. Sjui kwenu wakuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo la kawaida katika mahusiano,huwa ni utani waliojiwekea ingawa haiathiri mambo ya msingi...kwa mfano mi na wife tuna hiyo staili na maelewano ni mazuri tu na tunaishi zaidi ya 10yrs
 
Jambo la kawaida katika mahusiano,huwa ni utani waliojiwekea ingawa haiathiri mambo ya msingi...kwa mfano mi na wife tuna hiyo staili na maelewano ni mazuri tu na tunaishi zaidi ya 10yrs
Duh, kwa iyo mkuu wife anakuita we msenge leta matako yako hapa na wewe unaenda? Bwege kweli wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, kwa iyo mkuu wife anakuita we msenge leta matako yako hapa na wewe unaenda? Bwege kweli wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha ni kawaida ktk mahusiano na haina madhara kiuchumi na ni lazima atimize wajibu wake kunifulia,kunipikia,kupiga pasi na kunipangia nguo za kuvaa,kuniandalia usafiri,na wakati mwingine tunakula bata mbugani;kwa hiyo ni laifu staili tu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mkuu nimecheka sana, aisee mimi dem kunitusi hata kwa utani hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kawaid tu inategemea mazoea yenu yalikuwa vipi,unaweza kumuita we K ebu ilete hiyo kitu,lakini katika kutumia lugha hizo inabidi watoto wawe mbali,na kwa namna moja au nyingine hizo lugha zinaongeza shamsham.
 
Nimewah kuwa karibu na coupe moja ambayo Mwanamke alikuwa na matusi ya karibu aisee... "sjui kwa kuwa alikuwa mlevi?? Maana (ashakhum sio matusi) wanawake wengi walevi ni wataalamu wa kubwatuka" lakini licha kwamba si kila siku alikuwa anakunywa.. Hata alipokuwa Mzima bila kilevi (ukizingatia ni mfanyakaz wa taasisi yenye heshima tu) Ilikuwa ni kawaida kwake kumjibu jamaa ake "we msenge nn?? we fala nini?? Toa matako yako hapa.. hata akipigiwa simu lazima abwagize na tusi.


Aina hii ya Mwanamke mi ilikuwa inanishangaza, licha ya kuwa Walikuwa wanapendana vizuri tu..

Sjui kama kuna Mwanaume anapenda kutukanwa hata kwa utani.. Kwangu isingeweza kukubalika.. Sjui kwenu wakuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Upande wangu mwanamke akishakuwa na lugha ya hivyo ni turn off sana kwangu... hapo hata watoto mtakaopata lazima wawe na matusi ya karibu kitu ambacho sio poa
 
Hapo kwenye wanywaji umebugi
Nina mashosti hawajui hata harufu ya pombe
Ukikutana nae utasikia wee ms**ge umetoka kut**a nini!

Nikaja kuona ni upuuzi unaweza kudhalilika mbele za watu
Nikampa ukweli mmoja
Huyo mwingine nikamfungia vioo

Hii mara nyingi ni mazoea ya mtu na watu wanaomzunguka
 
Sehemu ya kwanza ya kumshusha thamani mwanamke ni matumizi ya matusi kama kiunganishi/kibwagizo. Siwakubali kabisa wanawake wa sampo hizo

Sent from my SM-J700F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom