Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna dada tulielewana sana tukiwa chuo, alikuwa yule wa kazi na bata pamoja. Baada ya shule tuliendelea kuwasiliana. Kubadilisha na picha za matukio nk. Juzi amekuja mjini hapa kwa shughuli za...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Utakubaliana nasi kuwa shule ya kwanza katika maisha ya mtoto ni nyumbani – wazazi, ndugu wa familia tandaa, majirani na marafiki wa familia husika. Kupitia mzazi/mlezi mtoto anapata nyenzo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umeshawahi kujiuliza hili? Ukiwa huna pesa umepigika hakuna hata mtu anayekusogelea, hata walio mbali hawakupigii. Hata ndugu zako wanakuwa kimya, japo kwa kuwa uko mbali nao hujawaambia kama uko...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Imetokea mara mbili katika maisha yangu kuwa na wapenzi wa aina ambayo nitaelezea hapa chini. Kwa kuwa mimi ni mwanaume ni uzoefu na wapenzi wa jinsi ya kike. Inawezekana kabisa hata wanaume kuna...
1 Reactions
59 Replies
9K Views
Ni mwaka unakatika sasa. Tumekuwa wote humu jukwaani tukibadilishana mawazo na kuelimishana. Huu uzi uwe mahususi kwa wanaJF kutakiana heri za krismasi na mwaka mpya popote tulipo. Mwaka...
29 Reactions
189 Replies
17K Views
kichwa cha habari kinajieleza. Wawe na upeo wa mambo ya biashara nasiasa za kitaifa na kimataifa.Karibuni sana.
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Nina tabia mbaya Sana.siyafikirii mapungufu yangu niliyonayo nachojua Mimi Ni mapungufu ya wanawake wapenzi wangu.naweza kupata mtoto mkali ila baada ya muda tu naanza kumtafakari jinsi alivyo...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mkuu, Kama wewe ni wa kiume, na ukipenzika unakojoa, yaani wazungu wanatoka, basi wewe ni Kikojozi maana unakojoa. Kama wewe ni mwanamke, na ukipenzika unakojoa, nawe pia ni Kikojozi...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari za siku nzima wakuu.. natumaini Uzima upo. Leo nimeamua nije na hili swala.. ambalo mimi binafsi huwa linanishinda wakati mwengine.. Swala lenyewe ni kumuita mpenzi wangu Demu hasahasa...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, natumai mko salama kabisa, Mwakani nahitaji kuoa nimechoka kuwa bachela, nipo ktk harakati za kupata mtu sahihi ili awe mke wangu, hivyo basi, nahitaji maombi yenu ( kwa Mungu)...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Kama mnavyojua maisha hayana formula kuna wengine kwa kiasi chake mwenyezi Mungu amewabariki na kuwapa maisha mazuri Kiasi cha kuweza kutoa msaada kidogo kwa ndugu pale shida inapojitokeza...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Kwanza nianze kwa kuwapa shikamoo wakubwa zangu.kuna kitu kinanishangaza Sana katika mahusiano ya binadamu,Ni rahisi kukuta watu wanaume wakiongea pamoja na kutaniana.yaani kwa mfano ninaweza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dada usipende kuiga kila style ya kugegedana halafu ukamfanyia mpenzi wako. Angalia kwanza mwili wako kisha tafuta style inayoendana na maumbile yako. Vinginevyo, badala ya kumpa raha mpenzi wako...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Baada ya kufunga chuo Likizo ya Mwezi wa kumi na bee nikiwa Fas ya Kijenge juu Chugamaican nikaamua kutimba Tripple A FM kucheki izo mbishe na mbanga za field bablae,, Picha linaanza chaliako...
5 Reactions
57 Replies
10K Views
Kwanza kabisa ni mshukuru mungu kwa kunipa uzima hadi leo nimekuwa mtu mzima nafikiria kuoa. Pia shukran za pekee ziende kwa wazazi wangu ambao walionyesha upendo wa dhati tangu nikiwa mdogo hadi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu si ukabila bali preference ,haya makabila mawili wakae pembeni pia anaeona amekulia moshi au bukoba ajue naye atafyekelewa mbali ,kama amewahi kunywa gongo za bukoba au mbege naomba afanye...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Ukiwa nao Chumbani au Kichakani au katika Kiuficho fulani tayari kwa zoezi la Kuzini ukitaka ' Ugombane ' nao wakati mnajiandaa Kushughulikiana ' Kibaiolojia ' Wewe chojoa / vua Suruali yako yote...
2 Reactions
19 Replies
8K Views
Okkk...me na mrembo wangu anamatatizo ya kusikia (kiziwi) kiukweli tunapendana sana pamoja na matatizo yake ila moyo wangu wote upo kwake nampenda sana kila kitu kuhusu mapenzi nampatia ili...
5 Reactions
21 Replies
6K Views
Wasalaam Natumaini kila mmoja ni bukheri wa afya , napenda kuchukua fursa hii, kuomba maoni, ushauri kwa wenyeuzoefu Mimi ni kijana chipkizi kiumri ni shabab mwenye afya njema but now nipo...
2 Reactions
120 Replies
15K Views
Habari zenu wanaJamii.. Nina imani mko Salama kabisa.. Kwa mara nyengine tena nimekuja na story hii.. inayohusu, ni namna gani nilivyouanza na kuumaliza mwaka wa 2018. Nirudishe Historia nyuma...
8 Reactions
134 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…