Barieda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 1,811
- 2,483
Habari zenu wakuu, natumai mko salama kabisa,
Mwakani nahitaji kuoa nimechoka kuwa bachela, nipo ktk harakati za kupata mtu sahihi ili awe mke wangu, hivyo basi, nahitaji maombi yenu ( kwa Mungu) ili niweze kufanikisha azima yangu.
Naahidi kuleta mrejesho baada ya kufanikiwa, ahsanteni!