Natafuta mchumba asiwe mchaga au muhaya

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,417
Huu si ukabila bali preference ,haya makabila mawili wakae pembeni pia anaeona amekulia moshi au bukoba ajue naye atafyekelewa mbali ,kama amewahi kunywa gongo za bukoba au mbege naomba afanye kama anajikuna nitashuka na sampuli hiyo mzima mzima.

wenu mtiifu,

The only man in Tanzania .

Hii nayo ni thread
 
Laiti kama wachumba wangechaguliwa kama maembe. Ningemiliki mti

Haya umesikika ila jinsia tafadhali maana unaweza pata fursa au kufanywa fursa pia

The only

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuulize wewe.
Cha ajabu wanaume ndio wanaulizia details
emoji134.png
emoji134.png

emoji124.png
emoji124.png
emoji124.png
emoji124.png
emoji124.png
 
Mbona mwenzetu umekwepa utamu sasa, au unataka kuoa kwa ajiri ya nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom