buzzfeed
Senior Member
- Jan 4, 2018
- 145
- 107
Habari za siku nzima wakuu.. natumaini Uzima upo.
Leo nimeamua nije na hili swala.. ambalo mimi binafsi huwa linanishinda wakati mwengine.. Swala lenyewe ni kumuita mpenzi wangu Demu hasahasa nikiwa kwenye company ya wasichana..
Sijui huwa naonaje, akili yangu inalichukulia hili neno kama la kuwadowngrade kiasi fulani.. Ila nikiwa na company ya masela huwa sisiti wala nini..
Kwa nyinyi wenzangu imekaaje hii??
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app