ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,044
- 61,362
Nina tabia mbaya Sana.siyafikirii mapungufu yangu niliyonayo nachojua Mimi Ni mapungufu ya wanawake wapenzi wangu.naweza kupata mtoto mkali ila baada ya muda tu naanza kumtafakari jinsi alivyo nakosa kabisa hamasa ya kuendelea naye.mfano Kuna kipindi nikampata huyo mdada baadae kidogo nikaanza kuhisi Ana miguu miembamba Sana nikaona baadae nitakuja kuanza kutamani wengine wenye minene so nikaamua kukata mahusiano ghafla.baadae upweke ukanisumbua nikaja na ingizo jipya huyu naye alinisumbua kumpata ila nilivyompata tu nikamega Mara tatu hivi nikaanza kumuona Kama anatembea kama roboti nikaona miyeyusho hatuendani nikapiga chini.mwingine nilimpotezea kisa Ana kichwa kikubwaa.me hata makalio nikija kugundua Ni makubwa Sana naanza kuhisi kichefu chefu itakuwa umetumia mchina tu.nakubadilishia hata namba utajua mwenyewe.nataka mke wangu aje kuwa amekamilika kila idara nywele natural nyeusi ndefu,maziwa size ya wastan, Mrefu kaenda juu,mweupe mweupe,miguu minene minene, mahipsi ya kushato.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app