Kwanini Ni rahisi wanaume wa rika tofauti kukaa pamoja na sio wanawake?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,648
Kwanza nianze kwa kuwapa shikamoo wakubwa zangu.kuna kitu kinanishangaza Sana katika mahusiano ya binadamu,Ni rahisi kukuta watu wanaume wakiongea pamoja na kutaniana.yaani kwa mfano ninaweza nikawa niko bar nakunywa bia na mzee mwenye miaka hata 60 ambaye hata simfaham ila nikawa napiga naye stori kwa Uhuru tukataniana lakini huwezi kukuta binti amekaa na Bibi wakataniana labda wawe Ni ndugu.Au kwa mfano kwenye bus mkisafiri,Mimi kijana nikikaa seat moja na mbabu tutaongea safarini mpaka tutakapofika ila ukikuta msichana amekaa na Bibi au mmama hawataongea Wala kusemeshana kimya mwanzo mwisho.wanawake mna nini mbona mpogi serious Sana hata utani nyinyi kwa nyinyi hakuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urafiki wa wadada ni kama paka na panya. Watachekeaaaana akiondoka mmoja tu utasikia mnafiki sana Yule. Lkn sie utasikia dah Daudi mwana sana yulee tushafanya maasi mengi mnoo hahahaha Men will always be men
 
Back
Top Bottom