Jua jinsi ya kuishi na mwanamke kiziwi na jinsi ya kuumpa haki yake ya ndoa kama wanawake wengine

el diablo

Member
Jan 7, 2019
40
20
Okkk...me na mrembo wangu anamatatizo ya kusikia (kiziwi) kiukweli tunapendana sana pamoja na matatizo yake ila moyo wangu wote upo kwake nampenda sana kila kitu kuhusu mapenzi nampatia ili ajione kama watu wengne katika dunia hii ya shida na raha ila ukitoa changa moto mbalimbali ambazo napata kutoka kwake ila bado i still lov her. Lengo la uzi huu ni kutaka kujua wadau wenzangu wenye madem viziw au wake viziw ili tuwekane sawa kuhusu kuhandle wake zetu jaman au kama kuna wanawake viziwi watuweke wazi kuhusu siri za hisia zao. Ahsanteni

emawambele@gmail.com
 
Raha ya kuwa na demu kiziwi ni kwamba unaweza kuongea na mchepuko wako kwenye simu na yeye akiwa pembeni amekukumbatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha msingi mpende sana, usimwonyeshe dharau au usaliti wa aina yoyote. Maana atahisi kwa sababu ni kiziwi ndiyo maana umemfanyia hivyo. Na hii ni kwa watu wote wenye matatizo katika viungo vyao .
Japo umeomba wanaume, ila ni front front changu kimeniambia nikushauri
 
asante kwa ushaur wako babu doll uxsem kifront front sio vzr jamn
 
Okkk...me na mrembo wangu anamatatizo ya kusikia (kiziwi) kiukweli tunapendana sana pamoja na matatizo yake ila moyo wangu wote upo kwake nampenda sana kila kitu kuhusu mapenzi nampatia ili ajione kama watu wengne katika dunia hii ya shida na raha ila ukitoa changa moto mbalimbali ambazo napata kutoka kwake ila bado i still lov her. Lengo la uzi huu ni kutaka kujua wadau wenzangu wenye madem viziw au wake viziw ili tuwekane sawa kuhusu kuhandle wake zetu jaman au kama kuna wanawake viziwi watuweke wazi kuhusu siri za hisia zao. Ahsanteni

emawambele@gmail.com
Mkuu safi sana kwanza nikupe big up coz umeonesha real love kwa uyo bi mdada kikubwa mpende sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom