Hakika nimeamini unapotaka kuoa epuka michepuko mipya, inaweza kukusababisha ukabadili mawazo ya kumuoa uliempangilia.

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,289
16,973
Hakuu habari ya usiku. Hii habari nisipowapa leo hakuna mwingine atakaekuja kuwapa😂.

Mimi ni certified player, mwenye platnum membership card kwenye jumuia, ila mwaka jana nikadhamiria kua mojawapo ya mambo nitakayoyafanya mwaka 2019 ni kuoa na kua na mke, kua na mtoto angalau niitwe baba, niwe na mtoto rasmi, nimetupa watoto vyooni muda mrefu, nikasema sasa inatosha.

Hivyo nikapanga mwaka 2019 naoa rasmi na nikapanga kua sitaoa nje ya circle yangu, sina sababu ya kutafta mwanamke mpya maana ninao wengi na warembo na isitoshe wanawake ni wale wale, nikapanga kuchomoa mmoja ambae nimeshaanza kudevelop some feelings dhidi yake tuwekane mdani rasmi tuwe na familia.

Sasa kuelekea mwishoni mwa mwaka jana kuna katoto kamoja ka mzee mmoja hivi mwenye cheo ndani ya chombo kimoja cha usalama akaamua kunitunuku utamu bila kinyongo nikapokea hiyo zawadi kwa mikono miwili, ebwanaeeee, mtoto ana balaa, mtoto kavuruga mifumo yangu yote ya faham, ananipa vitu adimu na amaizing balaa, atakuja kuniua huyu mtoto hakiyamungu kwa utamu anaonipa. Jamani kuna watu wanajua haya mambo, unaweza kudhani umemaliza haya mambo siku unakutana na mtu ndio unajua kweli haya mambo hayaishi.

Huyu dogo amenivuruga balaa ingawa sina interest nae zozote ila sio siri huyu dogo almanusura abadili msimamo wangu kwa huyo dogo nilie na interest nae. Hakika mwanamke mpya anaweza kuvuruga mipango yako ya ndoa
 
Hakuu habari ya usiku. Hii habari nisipowapa leo hakuna mwingine atakaekuja kuwapa.

Mimi ni certified player, mwenye platnum membership card kwenye jumuia, ila mwaka jana nikadhamiria kua mojawapo ya mambo nitakayoyafanya mwaka 2019 ni kuoa na kua na mke, kua na mtoto angalau niitwe baba, niwe na mtoto rasmi, nimetupa watoto vyooni muda mrefu, nikasema sasa inatosha.

Hivyo nikapanga mwaka 2019 naoa rasmi na nikapanga kua sitaoa nje ya circle yangu, sina sababu ya kutafta mwanamke mpya maana ninao wengi na warembo na isitoshe wanawake ni wale wale, nikapanga kuchomoa mmoja ambae nimeshaanza kudevelop some feelings dhidi yake tuwekane mdani rasmi tuwe na familia.

Sasa kuelekea mwishoni mwa mwaka jana kuna katoto kamoja ka mzee mmoja hivi mwenye cheo ndani ya chomo kimoja cha usalama akaamua kunitunuku utamu bila kinyongo nikapokea hiyo zawadi kwa mikono miwili, ebwanaeeee, mtoto ana balaa, mtoto kavuriga mifumo yangu yote ya faham, ananipa vitu adimu na amaizing balaa, atakuja kuniua huyu mtoto hakiyamungu kwa utamu anaonipa. Jamani kuna watu wanajua haya mambo, unaweza kudhani umemaliza haya mambo siku unakutana na mtu ndio unajua kweli haya mambo hayaishi.

Huyu dogo amenivuruga balaa ingawa sina interest nae zozote ila sio siri huyu dogo almanusura abadili msimamo wangu kwa huyo dogo nilie na interest nae. Hakika mwanamke mpya anaweza kuvuruga mipango yako ya ndoa
WEKA PICHA!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukusaidia player certified, nipe namba ya huyo mlimbwende niifanyie kazi.
But on a serious note, kuna watoto wana mabalaa, mimi nahisi hata nikioa ntachepuka tu,bora nipate mke atakayenivumilia au ambaye hatanifuatilia.
 
Shetani kweli ni Experts.

Utakapompiga chini huyo Mkeo mtarajio utashangaa kile ambacho ulikuwa hukijui kuhusu Mapenzi na shetani.

Kama ulikuwa hujui Mapenzi kwa ufupi ndio hutumiwa na shetani kwa kiasi kikubwa kukutudish nyuma kimaendeleo both Economi and Social.

Utashangaa siku ukiwa huna hela wanawake hawajigongi ila ukianza kunusa harufu za pesa unashangaa wanawake wanaanza kukuchekea ilhali hawajui mfuko wako.

Halikadhalika ukipata Mke unashangaa wanawake wengine hasa wale ambao ulikuwa huwapati wanaanza kujigonga. Kuwa mjanja Mkuu. Hapo ni Game unachezewa bila kujua ili uharibu maisha yako.

Kaa chonjo huu Ni ulimwengu
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom