No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,662
- 7,834
1.Anakua mjanja sana majisifu kibao akiwa na wanaume wenzake Tu.😎
2.Anaongea sana akiwa mbali na mwenza wake.
3.Mkianza story za mademu tu Anahama kijiwe😀
4.Akimuona demu wake anasahau hata topic kama alikuwa anahadithia kitu.😡
5.Anakuwa Bahili hata kwa mambo yake muhimu..
6.Usishangae ukimuona anavaa nguo moja Tu ila ni ya bei mbaya!
N.B Na mimi nimooo wewe Je?