Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za mida hii wana jf? Mimi sio mpenzi sana wa uandishi mana mwandiko wangu mbaya. Wacha niadithie ilivokuwa mwanzo mwisho.. Ni likizo time.Yeye(binti)akiwa anafanya kazi serikalini na mimi...
22 Reactions
168 Replies
16K Views
Za usiku huu kuna bi dada fulani kwenye barabara fulani nilisikia anasema kama sina boyfriend ambaye ni gentlemen basi siwezi kaa naye. Kabisa je kwa upande wenu nilazima uolewe au uwe na...
2 Reactions
142 Replies
12K Views
Kuna Tetesi kuwa zimeondolewa sokoni na Serikali Ata maduka zilizokuwepo serikali imenunuq stock nzima Source; muuza duka la rejareja, ni kwa condom za salama tu
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Baada ya kuhusika na Kichwa cha habari " Wale wenye Mb's mkisha tazama hiyo clip Naomba sote kwa pamoja tukubaliane kwamba Mapenzi yana nguvu zaidi ya breakdown. Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
74 Replies
8K Views
Wanaume wanatudharau sana. Kwasababu wao ndio wanatulala. Wao ndio wanatupa mimba na hata kama wakikataa wao hizo mimba wanao wapa mabinti au wadada unamtunzia unahangaika mtoto anakuja kukua na...
9 Reactions
137 Replies
12K Views
Yaani .final destination in everything! Mungu ni mwema. Miss nimepata Kwaherini. Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
73 Replies
5K Views
Leo katika kupitapita nikakuta na watu wanabishana kuhusu mwanamke aliyepita masikani kwao . Mmoja anasema mwanamke aliyepita ni mzuri , mwingine akasema mbona wa kawaida tu Hebu nisaidie ...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Mimi nakumbuka demu wangu wa kwanza kabisa alikuwa anaitwa lucy miaka miaka kadhaa nyuma, alikuwaga mpenzi wangu hata kumsogeleaga ilikuwa ni inshu mtoto alikuwa mlokole balaa baada ya kumalizaga...
11 Reactions
101 Replies
13K Views
Ni habari ya mwaka 1993 Ubungo Kibo mtaa wa Rombo Wakati ule pale Kibo palikuwa ni kituo maarufu cha kuuzia mikate kwa mabasi ya mikoani na hata magari mengine Basi kukawa na kijana mmoja...
22 Reactions
126 Replies
18K Views
You were one among the good persons I have met. A best friend. Rest In peace.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
BARUA KWA EX. Dear Ex, Siandiki barua hii kukutukana au kukukejeli. Hapana, hii ni asante yangu kwako kwa kuniacha. Leo nimepita sehemu ambayo mimi na wewe tulikua tukienda mara kwa mara wakati...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari za Usku wanamahusiano?? Kiukweli huwa napata shida sana kuona katika mahusiano mmoja Kati ya wapenzi anakuwa tofauti na mwenzake mfano unaweza kukuta ; -Mwanaume ni mlevi lakini mwanamke...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
.....Kwa Heshima ya mke, unapiga game na Mchepuko hadi saa 4 au 5 Usiku, then unarudi Home then Asubuhi Kama Mimi na moja alfajiri unaamkia na Kuhamsha Kiporo Binadamu. #Hapa lazima uchukue namba...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Sindano za kuimarisha uume ambazo zimebuniwa kuongeza ukubwa wa uume zimepata umaarufu mkubwa licha ya tahadhari ambazo zimekuwa zikitolewa kuhusu madhara ambayo yanaweza kujitokeza mtu anapotumia...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu wadau mimi ni kijana wakiume nimetokea kupenda binti wakilokole lakini yeye kanipa masharti lazima niokoke kwenye kanisa lao la kilokole ndiyo atakubali. Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
97 Replies
8K Views
Habari ,mi nikijana wa makamo nimetokea kuvutiwa na mmoja niliyetokea kumpenda sana huyu ni dada ambaye tulikutana njiani nikielekea kwenye mizunguko yangu ya kila siku ya maisha nilimkuta njiani...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Ni Tanzania pekee ambapo mary anadate na Paschal, Kisha Anapewa Mimba na John,ambapo mimba inatunzwa na Thomas Kisha Mary anaolewa na Joseph na mtoto anakuwa wa Joseph...oya wanawake msituchukulie...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Katika maisha kuna changamoto nyingi tunapitia. Bahati nzuri ni kuwa kuna maendeleo ya sayansi na tekinelojia inasaidia maisha yaendelee. Wengine walipata mimba za utotoni lakini kwa msaada wa...
29 Reactions
70 Replies
5K Views
Wakuu shwari? Kwa watalaam naomba mnisaidie, kuna demu kaniletea papuchi asubui hii... Nikamuingiza ndan then tukaanza mtanange sitn rum apa... Cha kushangaza nimepiga bao la kwanza demu akawa...
1 Reactions
119 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…