Nini tatizo la Salama Condoms

Nini tatizo la Salama Condoms

Watery

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
2,729
Reaction score
3,512
Kuna Tetesi kuwa zimeondolewa sokoni na Serikali
Ata maduka zilizokuwepo serikali imenunuq stock nzima
4af3ab96c785ac8a8526becb3e18bab6.jpg


Source; muuza duka la rejareja, ni kwa condom za salama tu
 
Kuna Tetesi kuwa zimeondolewa sokoni na Serikali
Ata maduka zilizokuwepo serikali imenunuq stock nzima
4af3ab96c785ac8a8526becb3e18bab6.jpg


Source; muuza duka la rejareja
Kisa cha kuondoa hizo kondomu nini??
 
Vip tena kaingilia soko la kondom tena, ukimwi nje nje sasa au watu wavae mifuko ya plastic
 
zilianza KO rosho sasa KO ndomu akihamia kununua KU zote ndo tutazinduka sasa hivi tunamchulia poa bado
Duh! We jamaa umenichekesha sana. Akinunua KU zote lazima ME wote akili ziwakae
 
Zilikuwa zinakuja kwa hisani ya watu wa Marekani, naona wamesitisha
 
Msiichonganishe Serikali Ya Viwanda Na Wananchi
 
Back
Top Bottom