Agoma kuvishwa pete mbele ya kadamnasi

Agoma kuvishwa pete mbele ya kadamnasi

Ambition plus

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
7,021
Reaction score
13,361
Habari za mida hii wana jf?
Mimi sio mpenzi sana wa uandishi mana mwandiko wangu mbaya.
Wacha niadithie ilivokuwa mwanzo mwisho..

Ni likizo time.Yeye(binti)akiwa anafanya kazi serikalini na mimi nafanya biashara zangu binafsi wakati mwingine napokea tenda za mda mrefu.Sikua na dili la msingi saana kuniingizia pesa ya maana.So tukawa kwenye mipango ya kwenda kuhesabiwa mimi na yeye.

Kwa kumbukumbu zangu ni tarehe 10 mwezi wa 12 tukiwa tumeshapangilia kila kitu kihusu safari ya uchagani..Tukakubaliana kuondoka tarehe 14 ya mwezi wa 12.

Usiku wa kuamkia tarehe 13 nikapata wazo.Kwanini kama tuko kwenye mahusiano ya mda mrefu na kila mmoja anampenda mwenzie tusipeleke mambo levo ingine???"Wazaz"pande zote mbili wanatufahamu.
"Tabia"tunafahamiana vyema japo mikwaruzano ya hapo na pale haikosekani.

Nikalitafakari wazo langu la usiku huo kwa undani na kwa kina nikajisemea mwenyewe"yafaa nimvishe pete ya uchumba"je ni wapi?Lini?Nani na nani awepo?mwisho ikawa mimi na yeye tunatosha mengine tutawajulisha yatakapokamilika..
(Nimechoka kuandika nafupisha)

Asubuh tarehe 14 tunaanza safari ila anashangaa! Ajui tunaelekea wapi.Safari ilikua "Zanzibar"nilipangilia kila kitu.
Kesho yake jion "romantic dinner"hajui chochote.
Namfanyia suprise katika ya dinner nimvishe pete nikiwa nimepiga magoti mbele yake.Siku ile kulikua na bendi inatumbuiza(coconut band)..

Anyway ni hivi aliigomea pete mbele ya wageni zaidi ya 90...mbele ya kila mtu mwenye shauku ya kuona anakubali.Aliniangalia kwa dakika tena halafu akamwagika machozi akasema "siwezi"

Usitake kujua nilikutwa na hali gani?
Nilijisikiaje mbele ya kadamnasi?pia sijui walinichukuliaje ila nilihisi kudhalilika..

Kila mtu alifika dar anavojua yeye.
Toka mwaka juzi lilivotokea hilo tukio hatukuwai kulizungumzia hadi leo na hatukuwai kuwa wapenzi tena.Ninachojua saizi yuko na mtoto mmoja.

Je kama ni wewe ungefanyaje?
 
Dah
Hapo mwenye makosa ni wewe.
Suala la urafiki wa kimahusiano sio uchumba aisee, uchumba ni ishu ya kuelekea kwenye mkataba wa kudumu wa kimaisha.
Sasa kwa nini hukumshirikisha kabla ya kumvisha pete?

Nampongeza sana huyo binti kwa kuonyesha msimamo bila kukwepesha.
Inaonekana huyo mwanamke yuko smart sana kichwani.
 
Huko huru kuchangia unavopenda.Ila nakukumbusha sasa hivi yuko na mtoto mwaka na miez 6.Ujagundua kitu?kama bado soma maelezo yangu kwa makini
 
Ulipiga magoti?

Haya maupuuzi ya Instagram yanawaharibu wanaume sana.Kwani ukimvisha pete ukiwa umesimama inakuaje boss?

Kama ambavyo sipendi kuabudiwa(mwanamke kunipigia magoti ni marufuku) na mimi siwezi kupiga magoti.
 
Hapo kila mtu anakupa pole.Ni aibu na uchungu
Aisee kuna mambo yanauma sana,wanawake aisee..sijui ningekuwa na hali gani
Kwao wako wawil dada na kaka
Simple tu ningemtafuta mdogo wake nimvishe pete...
Sipendi vita nimemwacha ajichagulie maisha anayotaka (single mother)
Siku za usoni natazamia kumiliki silaha ya moto a.k.a paja la kuku ili kutatua suprise mbaya kama hizo.
So true.hawajui wanataka nini.wanaojua ni wachache sana
women are too complicated..
Jivishe tu hata kwa dakika 30
Pole sana mkuu
Hivo vyako sio viatu ni gambuti kabisa,siwezi kuvivaa
Ingekuwa ni bora angeivaa hata kwa kuzuga
Pole sana mkuu, ila bora hata angeivaa hata kwa kutomaanisha
Kiasi gani limenijenga na limepita hakuna anayejua kilitokea nini mpaka tumeachana.sidhani pia kama yeye analizungumzia
Naonaga youtube haya mambo ...aisee hili swala unahitaji pumbu za chuma kuvumilia hiyo aibu
 
Habari za mida hii wana jf?
Mimi sio mpenzi sana wa uandishi mana mwandiko wangu mbaya.
Wacha niadithie ilivokuwa mwanzo mwisho..

Ni likizo time.Yeye(binti)akiwa anafanya kazi serikalini na mimi nafanya biashara zangu binafsi wakati mwingine napokea tenda za mda mrefu.Sikua na dili la msingi saana kuniingizia pesa ya maana.So tukawa kwenye mipango ya kwenda kuhesabiwa mimi na yeye.

Kwa kumbukumbu zangu ni tarehe 10 mwezi wa 12 tukiwa tumeshapangilia kila kitu kihusu safari ya uchagani..Tukakubaliana kuondoka tarehe 14 ya mwezi wa 12.

Usiku wa kuamkia tarehe 13 nikapata wazo.Kwanini kama tuko kwenye mahusiano ya mda mrefu na kila mmoja anampenda mwenzie tusipeleke mambo levo ingine???"Wazaz"pande zote mbili wanatufahamu.
"Tabia"tunafahamiana vyema japo mikwaruzano ya hapo na pale haikosekani.

Nikalitafakari wazo langu la usiku huo kwa undani na kwa kina nikajisemea mwenyewe"yafaa nimvishe pete ya uchumba"je ni wapi?Lini?Nani na nani awepo?mwisho ikawa mimi na yeye tunatosha mengine tutawajulisha yatakapokamilika..
(Nimechoka kuandika nafupisha)

Asubuh tarehe 14 tunaanza safari ila anashangaa! Ajui tunaelekea wapi.Safari ilikua "Zanzibar"nilipangilia kila kitu.
Kesho yake jion "romantic dinner"hajui chochote.
Namfanyia suprise katika ya dinner nimvishe pete nikiwa nimepiga magoti mbele yake.Siku ile kulikua na bendi inatumbuiza(coconut band)..

Anyway ni hivi aliigomea pete mbele ya wageni zaidi ya 90...mbele ya kila mtu mwenye shauku ya kuona anakubali.Aliniangalia kwa dakika tena halafu akamwagika machozi akasema "siwezi"

Usitake kujua nilikutwa na hali gani?
Nilijisikiaje mbele ya kadamnasi?pia sijui walinichukuliaje ila nilihisi kudhalilika..

Kila mtu alifika dar anavojua yeye.
Toka mwaka juzi lilivotokea hilo tukio hatukuwai kulizungumzia hadi leo na hatukuwai kuwa wapenzi tena.Ninachojua saizi yuko na mtoto mmoja.

Je kama ni wewe ungefanyaje?
Fyekelea mbali hana maana
 
Alitaka kufanya sapraizi ila ikatumbukia nyongo

Back
Top Bottom