Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 617
- 854
Habari za Usku wanamahusiano??
Kiukweli huwa napata shida sana kuona katika mahusiano mmoja Kati ya wapenzi anakuwa tofauti na mwenzake mfano unaweza kukuta ;
-Mwanaume ni mlevi lakini mwanamke sio mlevi.
-Mwanaume anavuta sigara lakini mwanamke havuti sigara
Yani naona kama haina ustawi mzuri maan mimi naamin katika mahusiano suala la "same interest" lina nguvu yake sana kwa wanahusiana lakini pia ni sehemu ya kufeel kile unachopenda.
Naomba nisiamini kuwa unaweza kuwa hupendi pombe lakn unalala na mtu aliyekunywa.
Naomba nisiamini kuwa hupendi harufu ya sigara lakn unalala nae.
Sasa Naomba niulize swali moja dogo tu.
Je utakubali mke wako kuwa mlevi kwa kilevi chochote kile ambacho ni Alcoholism ipo kwa sana.[emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app