Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Juzi nilipost thread kueleza umuhimu wa mahari na pia matatizo au upande wa pili wa mahari unaleta madhara gani katika mahusiano ikiwa hapatakuwa na usahihi wa malipo katika tendo hilo. Sasa a...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwanamke bila msimamo huwa ni sawa na choo cha kulipia, yeyote mwenye pesa ya kukidhi hitaji la kutoa haja yake, huingia na kutoa kisha huondoka na kuacha harufu na uchafu wake. Usichana ni sawa...
4 Reactions
12 Replies
5K Views
To them a nice guy means a foolish guy. # Stop being a nice guy cause she think ur a fool. # The best thing a woman can do to a nice guy is to put him in a friend zone because women think that...
6 Reactions
48 Replies
8K Views
Kwanza kabisa mimi ni mwanaume wa mkoani, bata bata za club nimezijulia Hapa Mjini Mzizima.. Katika mji huu wa Mzizima nimeshatimba club zaidi ya 50! Bahati mbaya ama nzuri nimepata experience...
12 Reactions
218 Replies
20K Views
Tujuane mapema wale tutakao kuwepo # kililove.....Hyatt regency Kwenye siku ya Valentine Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
170 Replies
11K Views
Kuna vitu vinashangaza sana hasa hasa ni haya mazee ambayo ni mabosi Unakuta zee zima ni Malaya eti kisa ni CEO Wa kampuni Fulani ndio unatumia wadhifa wako kuharibu mabinti za watu au wake za...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Jumapili iliyopita nikiwa nyumbani nimetulia na familia nikasikia hodi. Mdogo wangu kwenda kufungua akawakaribisha wageni ukumbini. Kutokea sebuleni nikashangaa ni mtu aloniacha kwa kashfa na...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 26 muislam ninaishi Dar, mweupe mrefu mwenye mwili kidogo natafuta mpenzi mwanamke mzuri (sio uzuri wa muonekano tu, na uzuri kutoka rohoni) anaye ishi Dar Au mkoa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu natoa rai kwa wale wanaopenda kudukua mawasiliano ya wenza wao waache taifa litapoteza Nguvu kazi.. Msaada dawa za kutuliza mapigo ya moyo Sent using Jamii Forums mobile app
10 Reactions
98 Replies
14K Views
Nahisi picha hapo chini inasomeka.... Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Last Saturday, nilialikwa kuhudhuria ndoa ya jirani yangu anawatoto kama 3 wote wa mama1 ila wa nje ya ndoa wote kwa pamoja walitumia fursa hiyo kuwatambulisha watoto hao swali nauliza ni sahihi...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Je ukiwa kama mzazi ama mlezi unafahamu nini juu ya mahakama ya watoto? Mara nyingi haki hupotea kwa kutozijua sheria na namna vyombo mbalimbali vya utoaji haki vinavyo endeshwa. Mahakama ni...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Mtu anawadada mia utakuta anakazi ila ratiba yake ni hii hapa. Ijioni 12 akiwa home anakuja A huyo atapika watakula ataenda atakuja B huyu atakaa ikifika saa sita ataondoka C huyo atalala mpaka...
2 Reactions
58 Replies
6K Views
Kama kuna kamlango ka kupotezaga pesa mingi hasa wanaume ni katika mahusiano. Pale kwenye early stages za mahusiano wengi tunapotezaga hela balaa. Utakuta mtu umemtumia hela then anapotea...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Unamkuta mtu anamadai eti anakuona upo humu masaa karibia na yote. Sio kwamba hana kazi watu wanakazi. Mf. Ukiwa ofisini umefika ukajibu post ukawasha kompyuta na kuanza na kazi halafu post...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Mwanamume wa kiafrika anamajukumu mengi sana! Anategemewa aitunze familia yake; anunue chakula, alipe kodi ya pango, asomeshe watoto, asomeshe ndugu zake, achangie majukumu ya kijamii ikiwa ni...
8 Reactions
13 Replies
4K Views
kuna demu nipo naye tunakula mgawani tukitoka kula tunaenda kufanya mapenzi gesti asa apa ela ya gesti sina sitaki demu aondoke ivi ivi bila kumtia nisaidieni ela waungwana nitawarudishia namba...
4 Reactions
93 Replies
8K Views
Kutongoza mtandaoni ni sawa na kucheza kamari, unaweza kua unatongoza dume mwenzio bila kujua. Lakini unaweza kutongoza mwanamke ukizani ni binti kumbe ni mmaza kama mama yako. Mimi nimewahi...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwanza nianze kwa kucheka[emoji23][emoji23][emoji23] Maana ni issue inayowatoa watu mapovu sana. Kuna hii hulka imeanza ya baadhi ya watu Maarufu kukimbilia nchi jiran na kuoa mabinti wa huko...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom