Kweli nimekuja kuona why wanaume wanatudharau

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762
Wanaume wanatudharau sana.
Kwasababu wao ndio wanatulala.
Wao ndio wanatupa mimba na hata kama wakikataa wao hizo mimba wanao wapa mabinti au wadada unamtunzia unahangaika mtoto anakuja kukua na anaemda mahakamani nakumchukua.
Ni Tanzania pekee wanaume wanatunzwa na kutunziwa familia zao.
Ni Tanzania pekee wanaume wanawala wake zao tigo kama nini.
Ni Tanzania pekee wakaka wanakaa vijiweni muda wakazi wanaambizana kuhusu wakina halima na aisha.
Unakuta wanawake wanapigana kisa Musa naye musa wala hana mpango nao.
Unaweza kukuta anaoa mwingine.
Nani Tanzania pekee ambayo Musa anaweza kutunzwa na Aish kwa kila kitu anakuja kumpa mimba Amina na Anamhonga aisha nakumuoa Dorothea
Upo hapo.
Ndio maana tunadharauliwa .
Tunachezewa hadi basi mwisho tunapigwa tunatusiwa nakutimuliwa.
Basi hali ndio hiyo.
Usidharauliwe na unampa mwanaume hela anakulala halafu bado unamtoa out na mazawadi nahuku niwewe ndio unastahili baadae kimbembe kaolewa mwingine.
Tujiheshimu sana kwa maana tunadharaulika mno kushinda hata zamani.
Namkiwa hamna hela wanaenda kwa wengine hata kama mmeoana .
Punguzeni kuwapa hawa hela mtu atafute njia ya kukupa wewe.
Hata bustani ya edeni hawa laana yake ilikuwa nikuzaa kwa uchungu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umelewa
 
Umewalaumu sana wanaume lazima umri wako unaanza kupita ule wa kuitwa kwa miluzi, sasa vipodozi vinaanza kumea usoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi huwa nakula tigo za malaya na madem wasiojielewa mke wangu sitamla tigo na pia situnzwi wala kupewa hela na mwanamke natafuta hela zangu mwenyewe kwaivo natoka kwenye hilo group la wanaume wanaolelewa na pia siwez kataa mtoto kamwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom