Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 633
- 417
Leo katika kupitapita nikakuta na watu wanabishana kuhusu mwanamke aliyepita masikani kwao .
Mmoja anasema mwanamke aliyepita ni mzuri , mwingine akasema mbona wa kawaida tu
Hebu nisaidie , mwanamke mzuri ni yupi.
??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmoja anasema mwanamke aliyepita ni mzuri , mwingine akasema mbona wa kawaida tu
Hebu nisaidie , mwanamke mzuri ni yupi.
??
Sent using Jamii Forums mobile app