Wanawake wakiafrika wengi wenye pua zilizochongoka na vimidomo vidogo au wenye kupenda kukunyakunja mdomo huwa wakorofi na watata sana

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,571
15,319
1548758673713.png

Huyu mama wa Nollywood japo huwa anaact lkn kuna uwezekano hiyo tabia ikawa yake.

Wengi wa wanawake wa aina hii ni wagomvi, washari, wakorofi hata akisema ameokoka kuwa naye makini.

Mzee mmoja aliniambia amefanya utafiti usio wa kisayansi amethibitisha hilo alipokuwa akinipa story ya mama mmoja mwenye sifa hizo ambaye ni mtata sio kidogo. Watu wote wanamuogopa.

Wanawake wa namna hii kama huwajui au hujui kariba zao ni vyepesi kumtawala mwanaume.
Hizi ni elimu za mitaani katika kutembea huku na kule, kila na mimi nikifuatilia naona kama kunakaukweli.

kwenu wataalam wa udadavuzi wa mambo ya mahusiano.
 
View attachment 1007713

Sio kweli mkuu kuhusu huyo mama kabila analotoka ndio linaongoza kwa upole na ukarimu
 
Naunga hoja 100% maana ni kweli kabisa wakorofi
View attachment 1007713

Huyu mama wa Nollywood japo huwa anaact lkn kuna uwezekano hiyo tabia ikawa yake.

Wengi wa wanawake wa aina hii ni wagomvi, washari, wakorofi hata akisema ameokoka kuwa naye makini.

Mzee mmoja aliniambia amefanya utafiti usio wa kisayansi amethibitisha hilo alipokuwa akinipa story ya mama mmoja mwenye sifa hizo ambaye ni mtata sio kidogo. Watu wote wanamuogopa.

Wanawake wa namna hii kama huwajui au hujui kariba zao ni vyepesi kumtawala mwanaume.
Hizi ni elimu za mitaani katika kutembea huku na kule, kila na mimi nikifuatilia naona kama kunakaukweli.

kwenu wataalam wa udadavuzi wa mambo ya mahusiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom