Wazee wa kupasha Kiporo

Wazee wa kupasha Kiporo

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
763
Reaction score
381
.....Kwa Heshima ya mke, unapiga game na Mchepuko hadi saa 4 au 5 Usiku, then unarudi Home then Asubuhi Kama Mimi na moja alfajiri unaamkia na Kuhamsha Kiporo Binadamu.

#Hapa lazima uchukue namba ya Mlinzi.
...........Ukirudi utamsikia mchepuko anakuuliza.. Dada hajambo?
Anajifanya anajali Sana Familia yako.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom