Binti wakilokole anilazimisha niokoke

Binti wakilokole anilazimisha niokoke

jaap

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2018
Posts
5,344
Reaction score
7,116
Habari zenu wadau mimi ni kijana wakiume nimetokea kupenda binti wakilokole lakini yeye kanipa masharti lazima niokoke kwenye kanisa lao la kilokole ndiyo atakubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu hakupend anataka ukaongeze idadi ya waumini kanisani kwao. Mtu anayekupenda hawez kukuwekea masharti hayo
Namimi nililiona ilo yeye anasema awez kuwa na mpenz wa Roman katoliki, na yeye in muimba kwaya ya kanisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom