Na mimi nipo hapa Boko Magengeni nasikia kuna jamaa kagongwa na gari au ndio yeye?jamaa mmoja hivi safi sana.
waliopo boko wanamfahamu .
Inawezekana ndiye. Naye pia kapatwa na hilo tukio.Na mimi nipo hapa Boko Magengeni nasikia kuna jamaa kagongwa na gari au ndio yeye?
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa yeye maana naambiwa alikuwa kafiwa na Dada yake same day.Inawezekana ndiye. Naye pia kapatwa na hilo tukio.
ndiye.Atakuwa yeye maana naambiwa alikuwa kafiwa na Dada yake same day.
Sent using Jamii Forums mobile app
Apumzike kwa amani kuna ndugu zake Niko nao muda huu tunapiga vyombo ndio wananisimulia scenario ilivyo. RIP.ndiye.
sawa kaka mazishi Yao kesho.Apumzike kwa amani kuna ndugu zake Niko nao muda huu tunapiga vyombo ndio wananisimulia scenario ilivyo. RIP.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwahi kumfahamu ila nitahudhuria mazishi hiyo kesho.sawa kaka mazishi Yao kesho.
Jamaa safi sana.
So, the same day, wamekufa wote Dada na huyo Muga?, duuh. May they R.I.PAtakuwa yeye maana naambiwa alikuwa kafiwa na Dada yake same day.
Sent using Jamii Forums mobile app