Alice in wonderland

Alice in wonderland

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Nani amewahi ku watch Alice in wonderland? Quote ya character gani unaipenda sana kwa hiyo movie? Mimi napenda kuna sehemu mad hatter anamwambia alice You used to be much more muchier you've lost your much ness 😂😂 Wewe Ni quote gani unaipenda?
 
Halafu kuna sehemu mad hatter anamwambia alice have I gone mad? Alice anamjibu im afraid so you're entirely bonkers but i will tell you a secret. All the best people are ☺️
 
Mimi nilisoma kitabu chake 1983 nikiwa darasa la 3, baadae ukubwani nikaja kuambiwa kimejaa codes na symbols za Illuminati na kaka yake Freemason, sinema yake nimewahi kuiona mara moja ila siikumbuki vizuri!
 
Eee 1983 Kumbe ilikuwepo tokea zamani. Me nime angalia jana movie yake wameandika ilitoka 2010. Ni movie nzuri sana
 
Back
Top Bottom