Ni sawa kufanya biashara na demu usio mjua?

Ni sawa kufanya biashara na demu usio mjua?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,967
Kuna haya mapenzi ya kujuana mitandaoni. Inafikia kipindi mnakuwa mmezoeana kama mnafahamiana.

Suala linakuja pale mnapo panga mipango ya maendeleo.

Je?... Ni busara kutoa pesa kumpa mpenzi huyu wa mbali ambaye humfahamu ?

Nahitaji maoni yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo hela ni bora ununue vyerehani ili kuunga juhudi za Jiwe
za tz ya viwonder
 
Hiyo ni sawa na kuipa umeme tv, kwani unajua ndani ya tv yumo nani? Au ni sawa na kuongea na Customer care wa Tigo tena mwanamke

Wachache watanielewa

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
nasubiri ushauri na hoja zenu wakuu ili nilijilipue mahali
 
Kuna haya mapenzi ya kujuana mitandaoni. Inafikia kipindi mnakuwa mmezoeana kama mnafahamiana.

Suala linakuja pale mnapo panga mipango ya maendeleo.

Je?... Ni busara kutoa pesa kumpa mpenzi huyu wa mbali ambaye humfahamu ?

Nahitaji maoni yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi ya kujuaba mtandaoni. Bado hujamfahamu.
Hapo kuna jibu tosha
 
Kuna haya mapenzi ya kujuana mitandaoni. Inafikia kipindi mnakuwa mmezoeana kama mnafahamiana.

Suala linakuja pale mnapo panga mipango ya maendeleo.

Je?... Ni busara kutoa pesa kumpa mpenzi huyu wa mbali ambaye humfahamu ?

Nahitaji maoni yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maliza matatizo yako yote,ukiona umeyamaliza na una hela ipo haina kazi nenda kawasaidie wasiojiweza mtaani,kingine jaribu kuishughulisha akili yako maana sio kila jambo n la kuomba ushauri(ina maana akili yako imeshindwa kulipambanua hilo),tunakoelekea utaomba ushauri kuwa uende kukata gogo au laa maana umebanwa na haja kubwa(daaaah samahan kwa ukakasi wa maneno,nimejaribu kufuta kumbe ufutio umeisha,samahani mkuu)
 
Sio demu tuu, binaadamu yeyote usiye mjua ni kharamu kufanya naye biashara. Hata mtu unayemjua lakini misimamo/tabia yake linapokuja suala la fedha kama hujui ni bora kumpeleleza
Kuna jamaa yangu tunafahamiana zaidi ya miaka 20 kila section jamaa yuko EXCELLENT mpaka issue zako za ndani zote unamwambia kulikuwa kuna issue moja Arusha yeye ndiye alienda kuichungulia akaniambia inatakiwa 4m bahati nzuri nilikuwa sina lakini kila nikiisikilizia issue imekaa haiko sawa kabisaa basi kwa kukosa pesa tukaipiga chini. Haikupita wiki 2 jamaa akamliza mshkaji wetu mwingine 9m ktk mazingira ya issue kama yangu, mshkaji akairusha kwenye group letu la whatzApp jamaa alikuwa na réputation kubwa sana kwenye jamii yetu kwa zaidi ya miaka 20 lakini ilijaribiwa kwa dakika zisizozidi 5



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom