The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,210
- 14,780
Dada zangu mnawakati mgumu yaani sijui huu ushamba umeanza lini ?
Yaani rafiki yangu kama case study wanapenda sana mi wachache walijaribu nkawaambia asee huo ni ujinga sana .
Mtoto wa watu amekuonea huruma jinsi unavyolilia penzi kaamua akutunuku ,ina maana kakuamini sana unamlipa wema kwa kuvua nguo kwa rafiki zako ndugu kidume mwenza kumbuka Dada zako pia ni mademu kwa wengine.
Na ninyi Dada zetu muache kufanya mapenzi biashara unamwambia mwanaume akupe 500,000 usiku mmoja ,akitoa basi mama subiri kuanikwa