BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,199
- 14,383
Umenifanya nionekane rude boy wakati mi ni gentleman. Wanafamilia wananiita Mimi bahili na siwajali yaani kiufupi sina upendo nao Ila si kweli maisha huku mjini ni magumu sana matumizi yamezidi uwezo nilionao. Naomba mnielewe wanafamilia, mama morgan kipenzi cha roho yangu, ndugu na jamaa zangu nawapenda sana ni hali ya maisha tu ndo inanifanya niwe hivi mnivumilie tu maana hakuna aijuaye kesho.