Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Niko kwenye stage ya mwisho wa ujauzito ila mambo naona yamekua mengi na mimi ndo kwanza naanza maisha ila baba wa mtoto yuko vizuri na anajua situation yangu vizuri kabisa. Hapa nilipofikia...
5 Reactions
206 Replies
20K Views
mwanamke, play part yako, kama mwanaume alikupenda na kisha akatoa mahari na kufunga ndoa na wewe ujuwe kuna vitu alitegemea kutoka kwako, iweje leo ageuke? utagundua, there is something wrong...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Karibu wanafamilia wa JF kwenye makala yangu ya mapenzi, Tatizo la mwanamke kumfanya mwanaume akose nguvu za kiume ni kwamba kama kweli tatizo hilo linasababishwa na mwanamke binafsi, basi yule...
3 Reactions
17 Replies
8K Views
Mnamo Mwaka jana . Mwishoni wa Mwaka niliwahi kuhudhuria harusi Ya rafiki Yangu Mmoja hivi wa kike Ambaye alikuwa ana tarajia kuolewa na Mchumba wake wa Muda mrefu "...., So baada ya mimi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau wa jf wazima?? Unavutiwaga nanani humu mpaka unahamu ukutane naye tu kimakosa barabarani au safarini au sehemu za burudani
11 Reactions
299 Replies
19K Views
Habari yako bwana HASSAN Natumaini hatufahamiani.mimi naitwa mr JOHN au baba Hellen.mkewangu ni ANITA ambae kwa sasa ndio baby wako kipenziiii kwa maelezo niliyoyakuta kwenye simu yake. Leo...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Poleni na majukumu Hii nimeikuta mahali. Habari yako bwana HASSAN Narumaini hatufahamiani.mimi naitwa mr JOHN au baba Hellen.mkewangu ni ANITA ambae kwa sasa ndio baby wako kipenziiii kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Inauma sana! Ni miezi miwili tangu tukio hili litokee lakini naona kama limetokea jana tu. Aliyekuwa mpenzi wangu ambae tulielekea kufunga ndoa karibuni aliniaga kuwa amepatwa na msiba hivyo...
32 Reactions
225 Replies
17K Views
Habari wanaJF Wanaume, vijana wa kiume, na wavulana naomba katika uzi huu tujaribu kuwapa japo kapicha kidogo hawa warembo humu ndani wanaotuzungumzia jinsi ambavyo wao wanadhani Wanaume wote...
11 Reactions
59 Replies
9K Views
Hivi kazi ya six pack kwenye mwili wa binadamu hasa mwanaume ni ipi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Ukistaajabu ya Musa !! Pichani kijana huyo mtu mzima toka Japani kwa jina la Yuta alikuwa kwenye penzi zito na Mende aliyemshika wakiishi Kama mke na mume. Mende huyo anadai alimnunua kutoka...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Niaje?? E bwana weee wife kasafiri ana kama wiki na nusu hivii tangu asafiri sasa mzee baba anataka papuch yake mpaka shidaaa!! Naweza kutembea barabarani ukiona mwanamke kakaa vibayaa basi tayari...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Kwenye majukumu kuna kipindi unaingia field hata miezi miwili mitatu haujarudi nyumbani. Ukanda wa kilimo cha pamba mahususi mtanielewa zaidi. Juzi amekuja binti na mimba kubwa kabisa ya...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Asallam aliykum wadau wana JF leo nawaletea huu UZI zipo kauli au hulka ya baadhi ya watu wakidai ya kuwa ni udhaifu hasa kwa mwanaume kutongoza msichana kutoka ktk mitandao ya kijamii na wapo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni msichana,nataka rafiki yeyote wa kubadilishana mawazo after work we me au ke ni sawa but story za apa na pale .msiniseme jamani ni upweke unanisumbua,nikirudi kazini nakosa wa kuongea nae...
8 Reactions
73 Replies
6K Views
Habrinii WanaJF Refer to the heading above Mimi ni kijana wa miaka 28 single up to this time, Napambana na hali yangu maisha sioo mabaya employed and entrepreneur Sifa za mtarajiwa 1. Kitu...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
KWA TAARIFA YAKO!! Kiwango cha Majukumu uliyonayo sasa kinaamua kiwango cha Baraka zinazofuatana na wewe. LABDA NIKURAHISISHIE LUGHA UNIPATE VIZURI... Huenda una ajira yako na unalalamika...
10 Reactions
6 Replies
1K Views
Eti kila mdada akija kutafuta mchumba utasikia anatangaza sifa za bwana amtakae. Awe mcha Mungu, sijui mrefu mara mfupi, mweupe au mweusi n.k, kinachoniuzi mimi kwenye umri tu. Utasikia awe 28 -...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
VYOMBO vimetupwa nje na baba mwenye nyumba. Si kwamba eti sijalipa kodi, la hasha! Ni sababu ndogo ya kipuuzi imepelekea yote haya. Saa nane usiku nikiwa nimelala katika kitanda changu cha kunesa...
7 Reactions
69 Replies
9K Views
Kwajina naitwa Yusuph Omary Mlima miaka 28 nyumbani Morogoro khonda mafisa ila kwa sasa niko chalize mkoani Pwan kikaz natafuta mchumba umri 20-27 asiwe mnene wala mwembamba sana awe anajiheshimu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom