Nawezaje kumuomba baba wa mtoto anisaidie?

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,405
Reaction score
88,864
Niko kwenye stage ya mwisho wa ujauzito ila mambo naona yamekua mengi na mimi ndo kwanza naanza maisha ila baba wa mtoto yuko vizuri na anajua situation yangu vizuri kabisa. Hapa nilipofikia nahitaji msaada hasa wa kifedha lakini mwenzangu haonyeshi kunisupport japo anajua kabisa nina kiumbe chake na uwezo wa kunisaidia anao. Nawezaje kumwambia anisaidie hapa nilipofikia sababh toka mwanzo mpaka hapa hajawahi nitumia hata elfu moja inisaidie kwenye ujauzito.
Naombeni mawazo yenu maana sijui pa kuanzia.
 
Loh!!! Are serious unakuja jf kuomba ushauri kabsa kwa kitu ambacho he is responsible??? Dada angu,fumbua macho basis. N kitendo cha wewe kuamka,kaa kitandani weka vocha sjui wacha simu,piga au tuma SMS "naomba ela ya nauli ya clinic na vitu vya kujifungulia,siku zimekaribia" Hadi Haya ushauriwe!!!![emoji51][emoji51][emoji51]
 
Nashukuru kwa ushauri wako.
 
Kusinda vihi
 
kwani ulivobeba mimba hyo makubaliano yenu yalikuaje? isije kukuta yeye part yake ilikuwa kudonate sperm tu na keshamaliza jukumu lake hapo unamsingizia mengine.

Dah! mbona umeniwahi swali langu?maana nilikuwa nataka kumuuliza swali hilo hilo,kwa vyovyote darasani ulikuwa unaaangalizia majibu ya mitihani wewe haiwezekani tufanane maswali.

Ok ,hebu tusubiri jibu lake.
 
kwani ulivobeba mimba hyo makubaliano yenu yalikuaje? isije kukuta yeye part yake ilikuwa kudonate sperm tu na keshamaliza jukumu lake hapo unamsingizia mengine.

Hatukukubaliana kubeba mimba ilitokea ilivyotokea mimba ikatungwa.
 
Loh!!! Are serious unakuja jf kuomba ushauri kabsa kwa kitu ambacho he is responsible??? Dada angu,fumbua macho basis. N kitendo cha wewe kuamka,kaa kitandani weka vocha sjui wacha simu,piga au tuma SMS "naomba ela ya nauli ya clinic na vitu vya kujifungulia,siku zimekaribia" Hadi Haya ushauriwe!!!![emoji51][emoji51][emoji51]
sijakuona siku nyingii!
 
Hapo kwenye baba wa mtoto futa mana bado hajazaliwa weka baba aliyenipa ujauzito..kama ni mtu wako kukusaidia ni wajibu wake haihitaji kutumia nguvu nyingi ila kama ni mume wa mtu itabidi uwe mpole na itakuwa changamoto kubwa kwako
 
Back
Top Bottom