MATUMIZI YA FEDHA VALENTINE HII

Malaika Mkuu

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
901
907
Tanzania! Yes ni Bongoo
Wakati wewe ukiwaza lini Mungu atakuona upate japo tumilioni tutano kuna watu wanatumia milioni 22.4 kwenda dinner kula bata na baby wake kwa siku moja tu. Yani only one day mtu anatupa milioni 22 na mbeebz.
Unanielewa lakini?!

Milioni 22 hii unaweza kabisa kwenda pale Tokyo Japan ukala bata flan classic kwa week kadhaa huku macho yako yakiburudika kutazama warembo amazing ambao unaweza kuhisi sio binadamu ni midoli

Milioni 22 hii unaweza kabisa kujenga kakibanda kule chanika na ukahamia kwako na kuondokana na vituko vya mama mwenye nyumba wako ambaye kutwa kucha ni visa
Millioni 22 hii kwa mashahara kwa muhindi huu ni mshahara wa mtu kwa miezi 44 yani miaka 3 na miezi 8 ya machozi na jasho

Watu wanaitumia kwa siku moja!! Namuonesha mshakaji hapa anashangaa!! Ananiambia dah ila kaka Mungu ndio mpangaji, Siku yetu ipoo

Basi nimewaza huyu jamaa aendelee tu kusema tu ooh Mungu atanipa, ooh ni mipango ya Mungu. Ohh aliyeninyima mimi ndio kampa yeye, Mbaya zaidi watu aina hii wamtajapo Mungu wanaweka mbele dini.

Ndugu yangu dini isikufanye ukaacha kufikiri nje ya box, isikufanye ukaacha kupambana ukaamini umasikini wako ni mipango ya Mungu. Na hii ndio weakness ya wazi.
Imani huwafanya watu wasiwe huru kufikiri, inawafunga watu minyororo na kuacha kufikiri kwa uhuru na kuamini majawabu yote yapo kwenye dini. Mtu dizaini hii akiwa masikini atasema ni mipango ya Mungu, akifanya uzembe watu wakafa atakwambia kifo ni mipango ya Mungu.
Huyu tatizo lolote atakwambia tumuachie Mungu badala ya kupambana kutafuta njia kuyatatua.

Afrika imani imekua kichaka cha kufichia uzembe na uvivu wa watu, imani zimekua justification ya watu kushindwa kwao. Kuna watu wavivu wao ngao yao ni Mungu, imani na miujiza! Kufeli kwao wanambebesha Mungu, umasikini wao wanaamini ni mipango ya Mungu. Na hii ndio sababu wajanja wachache wameitumia dini kutajirika na ni matajiri kweli kweli huku wavivu wakiendelea kusubiri miujiza!
Si ulisikia TRA wakisema akaunti ya Kakobe ina bilioni nane, bilioni 8 ni milioni elfu nane hivi unajua zimetoka wapi?

Ukitaka kumuibia muafrika muwekee dini mbele, ukitaka muafrika akupe akili yake uitawale na ufikiri kwa niaba yake muwekee dini mbele. Kuna watu wako tayari kufunga ofisi zao hata siku nzima wakashinde ibadani. Wakoloni walijua hili na wali win power Africa kiulaini kabisa.

Ndugu yangu acha kusubuiri kuombewa upate ufanikiwe, mafanikio hayaji kwa miujiza, mafanikio hayaji as simple as eti umekaa kuombewa na kuitikia Yes I receive.
Nani amekudanganya kuna ku Receive without hustling. Kama uliwahi kumsikia Lusekelo akisema kama we ni masikini ni fala. Basi shtuka acha kuwa fala.
NIMEMALIZA
#MzeeWaShow
FB_IMG_1549019827742.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#MzeeWaShowView attachment 1010425

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena hiyo 22.4m kwa muarab ni mshahala miaka 3 na nusu hadi minne tena kwa machozi, mijacho na kukemea sana na kufunga juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo siku mungu atashusha neema yake alafu still umekaa still, nina lifestyle ile ile , kila kitu kile kile
😂😂😂 HATARIOOO
 
Aliyeipata kwa wepesi,ataitumia kwa wepesi kwa sababu hajui ugumu wa kuipata hiyo.
 
Back
Top Bottom