Kwanini kina dada wanapoona ndoa inafungishwa mahali wanasonya???

social_science

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,111
2,000
Mapema leo siku ya ijumaa ndugu zetu wa upande wapili upenda kuita Ijumaa kukuu nikiwa nimejipumzisha mahali kutokana na uchovu wa pilika pilika za hapa na pale lakini pia na uwepo wa jua kali,zikapita gari zaidi ya 5 zikiashiria ndoa inaenda kufungwa mahali tukio ili limechukua attention ya watu wengi ikiwemo kinadada wakitizama kwa sura ya kejeri na kusonya.Nimetizama karibu maeneo manne tofauti waliposimama kinadada hali ipo hivyo hivyo.

Najua hapa JF kuna great thinker kibao wenye experience na knowladge za kutosha ningependa kujuzwa kuna mahusiano gani kati ya kinadada kusonya na shamra shamra hizi za ndoa

Ahsante.
 
Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,170

MKUU,

UMEJARIBU KUMUULIZA NDUGUGIGI_MANE ILI UPATE MAWAZO YAKE KATIKA HILI LABDA ?

TUANZIE HAPO.

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom